RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,487
- 135,426
Tatizo mnakutana na watu bar, kwenye daladala wanawavutia kwa ngozi zao mnaenda oa.
humu kuna tatizo gani? au wote watumiao usafiri huu ni watu hovyo hovyo?
Tatizo mnakutana na watu bar, kwenye daladala wanawavutia kwa ngozi zao mnaenda oa.
Ukimuacha nipe namba yake
Hakili zimekuwa tuned huko tu...
Wanawake wote Dunian % 85 wanaendeshwa na moyo,moyo ndio una endesha Akili,Wanaume % 90 wanaendeshwa na akili,akili ndio inaendesha Moyo,na ndio maana tunaweza ishi na hao viumbe bila kuwa na kinyongo,lakin mwanamke akipata pesa,na wewe mwanaume huna pesa,na mwendo wao ni moyo kuendesha akili hapo lazima ufukuzwe maana moyo wake utakuwa unatamani uhuru,
mwanamke hana uwezo wa kutambua ataishije miaka mitano mbele,yeye pale alipo,alichopata ndio iman yake huja kuwa ndio maisha harisi,mtakubaliana na mimi,mwanamke ambae anaishi huku akitegemea Akili kuishi huyo anaweza hata akaolewa na mwanamme asiempenda na ndoa ikawa sawa na majirani wakatamani maisha yake,maana upendo wake kwa muda huo kwenye ndoa hakuna,huyo mala nyingi kila jambo afanyalo hutumia akili zaidi kuliko moyo.....Sa mkuu,Vumilia pia vuta muda huo ni upepo tu unapita na itabaki story....pole sana