Maji yamefika shingoni, namuacha mke wangu

Maji yamefika shingoni, namuacha mke wangu

p. master

New Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
4
Reaction score
2
Maji yameshanifika shingoni nataka kufanya maamuzi magumu namwacha mke, sababu moja, ameshakua na kiburi dharau mbili, chini sasahivi hakukaliki kama kachanjiwa.

Nikitoka nyuma nae safari tatu, simu yake sasa hivi ipo busy kama ya customer care na zaidi sasa hivi ameiweka pin code na usiku inazimwa ukiwasha password.

Nimejitaidi kumrudisha kwenye mstari harudi zaidi ni majibu yake mpaka yananifanya nirudi nyumbani usiku wa manane hata hamu ya ndoa sina nahisi nakula vilivyokwishaliwa mchana na wenzangu
.
 
Usimwache . . . tumia tu hekima atanyooka..
kurudi usiku wa manane sio unafuu bali ni kumpa nafasi ya yeye kuendelea na vimbwanga vyake.
 
hii nyuzi ya 8 tangu asubuhi kuhusu ndoa

uwiiii Zamaulid
kunni huko?
 
Last edited by a moderator:
Unadhani kuna mjanja basi wa mambo hayo anayeweza kumshauri mwenzake? yakikukuta ujue yako hhayo ukitafuta ushauri unatafuta kuchanganyikiwa zaidi

Ndio ukubwa huo!
 
dah, pole sana mkuu. Ila kumbuka mke anahitaji vitu hivi, UPENDO, GOOD FAQ NA KUMTUNZA. Hebu anza upya kwenye hayo angalia wapi ulilega jaribu kuweka sawa, ikishindikana kuanza upya sio ujinga
 
Wanawake wote Dunian % 85 wanaendeshwa na moyo,moyo ndio una endesha Akili,Wanaume % 90 wanaendeshwa na akili,akili ndio inaendesha Moyo,na ndio maana tunaweza ishi na hao viumbe bila kuwa na kinyongo,lakin mwanamke akipata pesa,na wewe mwanaume huna pesa,na mwendo wao ni moyo kuendesha akili hapo lazima ufukuzwe maana moyo wake utakuwa unatamani uhuru,

mwanamke hana uwezo wa kutambua ataishije miaka mitano mbele,yeye pale alipo,alichopata ndio iman yake huja kuwa ndio maisha harisi,mtakubaliana na mimi,mwanamke ambae anaishi huku akitegemea Akili kuishi huyo anaweza hata akaolewa na mwanamme asiempenda na ndoa ikawa sawa na majirani wakatamani maisha yake,maana upendo wake kwa muda huo kwenye ndoa hakuna,huyo mala nyingi kila jambo afanyalo hutumia akili zaidi kuliko moyo.....Sa mkuu,Vumilia pia vuta muda huo ni upepo tu unapita na itabaki story....pole sana
 
Huyo nae!!Wenzake kila siku tunasugua goti kuomba mume yeye ana....
Labda ujikague wewe kwanza,yawezekana kuna kitu umemfanyia na yeye analipiza.
 
Wanawake wote Dunian % 85 wanaendeshwa na moyo,moyo ndio una endesha Akili,Wanaume % 90 wanaendeshwa na akili,akili ndio inaendesha Moyo,na ndio maana tunaweza ishi na hao viumbe bila kuwa na kinyongo,lakin mwanamke akipata pesa,na wewe mwanaume huna pesa,na mwendo wao ni moyo kuendesha akili hapo lazima ufukuzwe maana moyo wake utakuwa unatamani uhuru,mwanamke hana uwezo wa kutambua ataishije miaka mitano mbele,yeye pale alipo,alichopata ndio iman yake huja kuwa ndio maisha harisi,mtakubaliana na mimi,mwanamke ambae anaishi huku akitegemea Akili kuishi huyo anaweza hata akaolewa na mwanamme asiempenda na ndoa ikawa sawa na majirani wakatamani maisha yake,maana upendo wake kwa muda huo kwenye ndoa hakuna,huyo mala nyingi kila jambo afanyalo hutumia akili zaidi kuliko moyo.....Sa mkuu,Vumilia pia vuta muda huo ni upepo tu unapita na itabaki story....pole sana

Keep up
 
Ang alia wale wa mchana wataMchukua. Ndo lengo lao shauri yako. Nakushauri komaa na ndoa yaKo na jichunguze mahali kamba imelegea uikaze.
 
Huyo nae!!Wenzake kila siku tunasugua goti kuomba mume yeye ana....
Labda ujikague wewe kwanza,yawezekana kuna kitu umemfanyia na yeye analipiza.

kumbe wanaume tuna tafutwa ehhh...!!? ngoja na mm nitume maombi kwako@dada dori#
 
Angalia wapi pana upungufu mjirekebishe pia usishike cm yake cm yako ifiche yan asipate muda wa kushuka cm yako
 
Pili jitahid na ww kuwa bze na cm hata kama hauchati we jifanye uko bze . Usimsemeshe wala kumgombeza yan ww msalimie .usimgombeze ongea nae vizur ila uwe bize na cm kuliko yy watakuwa na wivu atabadilika akijua anaibiwa
 
Most likely haumpi haki yake kisasawa . Mwanamke asiyeridhishwa kimapenzi na mumewe ni hatari. Jichunguze na fanyia kazi swala hili. Haiwezekani mtu abadilike ghafla.
 
Maji yameshanifika shingoni nataka kufanya maamuzi magumu namwacha mke, sababu moja, ameshakua na kiburi dharau mbili, chini sasahivi hakukaliki kama kachanjiwa.

Nikitoka nyuma nae safari tatu, simu yake sasa hivi ipo busy kama ya customer care na zaidi sasa hivi ameiweka pin code na usiku inazimwa ukiwasha password.

Nimejitaidi kumrudisha kwenye mstari harudi zaidi ni majibu yake mpaka yananifanya nirudi nyumbani usiku wa manane hata hamu ya ndoa sina nahisi nakula vilivyokwishaliwa mchana na wenzangu
.

Ushawahi kumsemea kwa wazazi wake labda?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom