Maji yajaa kwa kasi ya ajabu bwawa la Nyerere

Ignorance is bliss

Sasa kujaa kwa maji kuna faida gani kwa mradi ambao aujafika ata 80%.

Fir starters it all depends on ‘critical path analysis’ ya mradi wenyewe hayo maji yangeweza jazwa ata mradi ukiwa 40% aina maana tupo karibu kupata umeme. Depends on network diagram ya mradi wote.

Wewe kama mdau unataka kujua muda wa mradi ulivyoeshimiwa from looking at agreed ‘project charter’ against project agreed costs, applying (PERT), conduct ‘mile stone analysis’ to appraisal development against agreed plans, assess ‘earned value management’ ya mradi kuona ufanisi wa budget iliyopangwa na gharama halisi and so forth with project management appraisals.

Ni hivi huu upuuzi mnaosifia na kumsikiliza mtu kama Makamba na yule mkurugenzi wa TANESCO ni ishara ya wewe mwenyewe kujidharau.

Hakuna kitu wanachojua huu mradi baada kufa kwa Magufuli funds wameunga unga mpaka ulipofiia.,

Ila kama watu wangeomba original ‘project initiating document’ za mradi kuangalia ‘project charter’ and ‘project concept statement’ huo mradi ulikuwa on schedule with minor COVID delays; tatizo ni kwamba walikosa hela za kuuendesha baadae mpaka walipofikia ni unga unga tu.

January hana uwezo wa kuongopa kuhusu haya mambo, for starters ufahamu wake wa jinsi yanavyofanyika ni mdogo mno kwa kumsikiliza tu (ndio ukweli wenyewe).

Kwa hivyo kujaa kwa maji kama ni muhimu, uliza how critical it is to the remaining project tasks, kama wanaufahamu huo mradi vizuri wakuekezee, otherwise it’s an ordinary milestone.

Tumeweka useless people wizarani na kwenye management ya TANESCO; shida zaidi tumewapa na mamlaka ya kusimamia majadiliano ambayo yanataka uelewa mpana wa maswala ya finance kwenye ‘oil and gas’, put it this way only investors pity will reduce the damage kwenye hayo majadiliano, utakuwa na mpuuzi wa hali ya juu kuamini January Makamba anaufahamu kwenye hiyo sector. He is jtst a lucky idiot.
R.I.P MFUGALE,
 
Ko kwa maksudi umeamua kumiss context ya ujumbe wangu ili ukosoe, me sio nabii ila ww ni maskini wa kiuchumi na kifikra
Jisahihishe wewe, siyo unaanza kujitetea. Huoni kuwa umekosea kuandika mladi badala ya mradi. Na acha kuandika me andika mimi, unasikia? kumiss ndio lugha gani hiyo?
 
Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
Ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kinyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
Ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kinyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.

Mungu ibariki Tanzania.
Kwa hiyo bei ya umeme inashuka lini?
 
Back
Top Bottom