Maji yajaa kwa kasi ya ajabu bwawa la Nyerere

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
6,217
6,267
Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
Ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kinyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.

Mungu ibariki Tanzania.
 
MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
2,952
3,310
Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Dr. Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kimnyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.
Mungu ibariki Tanzania.
bila picha ni uongo
 
21 Reactions
Reply
Top Bottom