Maji yajaa kwa kasi ya ajabu bwawa la Nyerere

Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
Ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kinyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.

Mungu ibariki Tanzania.
Mnalima halafu mazao yanakopwa ( stakabadhi ghalani ) !
 
Mashetan yaliyokuwa nyuma ya ukwamishaji wa huo mradi yatapata pigo na aibu kubwa, sir100 na genge lake hawautakii mema huo mradi, ni vile tu waTanzania wameamka hawana ujinga wa miaka ile ya 60, hawa walikuwa na ndoto za kukwamisha kila jambo wakisingizia uharibifu wa mazingira, yalivyo mashetan hata hayafikirii kuwa huo mradi utasaidia hata vizazi vyao hapa mbeleni..

ukishakuwa mwanasiana na akili zinakufa, huwa nashangaa kumuona kijana mwenye akili timamu anagombea kadi za vyama vya siasa na kusapoti uozo wa hizi government dharimu
 
Kamwe hawezi ku-RIP kwa vilio vya waathirika kwa utawala wake wa kinyama
Kwani, Daudi alipo R.I. P ukoo wa GOLIATH na ndugu zake hawakuwa na vilio au hawakuwa waathiriwa?
Ku- R.I. P inategemea ulizitumiaje dakika zako za mwisho hapa duniani.
 
Kipara mwana wa yule mzee mpayukaji anayedai JPM kafa kwa sababu mdhambi, ameruhusu maji yajae kwenye hilo bwawa!?
 
Mradi Bado haujakamilika, maji yanaingia na kuruhusiwa Kutoka tena.

Usiwaamini CCM hata cku moja.
Umewaza nilivyowaza... Zile picha zilitosha kutuonesha kuwa lile igizo lilikosa director mzoefu wa Mabwawani.
😂😂😂
 
Ignorance is bliss

Sasa kujaa kwa maji kuna faida gani kwa mradi ambao aujafika ata 80%.

Fir starters it all depends on ‘critical path analysis’ ya mradi wenyewe hayo maji yangeweza jazwa ata mradi ukiwa 40% aina maana tupo karibu kupata umeme. Depends on network diagram ya mradi wote.

Wewe kama mdau unataka kujua muda wa mradi ulivyoeshimiwa from looking at agreed ‘project charter’ against project agreed costs, applying (PERT), conduct ‘mile stone analysis’ to appraisal development against agreed plans, assess ‘earned value management’ ya mradi kuona ufanisi wa budget iliyopangwa na gharama halisi and so forth with project management appraisals.

Ni hivi huu upuuzi mnaosifia na kumsikiliza mtu kama Makamba na yule mkurugenzi wa TANESCO ni ishara ya wewe mwenyewe kujidharau.

Hakuna kitu wanachojua huu mradi baada kufa kwa Magufuli funds wameunga unga mpaka ulipofiia.,

Ila kama watu wangeomba original ‘project initiating document’ za mradi kuangalia ‘project charter’ and ‘project concept statement’ huo mradi ulikuwa on schedule with minor COVID delays; tatizo ni kwamba walikosa hela za kuuendesha baadae mpaka walipofikia ni unga unga tu.

January hana uwezo wa kuongopa kuhusu haya mambo, for starters ufahamu wake wa jinsi yanavyofanyika ni mdogo mno kwa kumsikiliza tu (ndio ukweli wenyewe).

Kwa hivyo kujaa kwa maji kama ni muhimu, uliza how critical it is to the remaining project tasks, kama wanaufahamu huo mradi vizuri wakuekezee, otherwise it’s an ordinary milestone.

Tumeweka useless people wizarani na kwenye management ya TANESCO; shida zaidi tumewapa na mamlaka ya kusimamia majadiliano ambayo yanataka uelewa mpana wa maswala ya finance kwenye ‘oil and gas’, put it this way only investors pity will reduce the damage kwenye hayo majadiliano, utakuwa na mpuuzi wa hali ya juu kuamini January Makamba anaufahamu kwenye hiyo sector. He is jtst a lucky idiot.
 
Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
Ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kinyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.

Mungu ibariki Tanzania.
Wewe utakuwa mwingine kutupa kama umeshindwa kuweka hata mdalasini kwenye andiko, yaani unashundwa kuweka hata kapicha kungarisha andiko!!
 
Wewe utakuwa mwingine kutupa kama umeshindwa kuweka hata mdalasini kwenye andiko, yaani unashundwa kuweka hata kapicha kungarisha andiko!!
Jambo hili halihitaji ushahidi wa picha,
ila habari ndio hiyo kuwa maji yanaendelea kujaa kwa kasi, sasa ukitaka unaweza amini usipotka sio lazima uamini.
 
Jambo hili halihitaji ushahidi wa picha,
ila habari ndio hiyo kuwa maji yanaendelea kujaa kwa kasi, sasa ukitaka unaweza amini usipotka sio lazima uamini.
 
Tunamshukuru Mhe. Raisi na chama cha mapinduzi kwa kuiwezesha Argentina kubeba wedi kapu huko Katar
 
Kwanza kabisa tunamshukuru Mungu kwa kuitikia maombi yetu ya sala na dua na sasa kila kona ya nchi yetu mvua inanyesha.
Ahsante Mungu kwa neema yako kwetu.

Mara baada ya Rais Samia kuzindua bwawa hiyo tarehe 22/12/2022 maji yameendelea kujaa kwa kasi ya ajabu kinyume na matarajio, hii ni dalili ya baraka kwa nchi yetu, basi kwa pamoja tuendelee kuombe neema kwa nchi yetu.

Shime wakulima wenzangu tuzitumie kikamilifu mvua hizi kwa kulima kwa bidiii ili tupate chakula cha kutosha.
njia pekee ya kupambana na njaa na umasikini ni kulima kwa bidiii.

Mungu ibariki Tanzania.
Wewe unalima?au unaongea tu?kulima sio lelemama
 
Kweli kabisa maji yaingia mengi maana sehemu kubwa ya nyanda za juu mvua zinanyesha mikoa ya mbeya,iringa,njombe na ruvuma na hata morogoro.Neneni youtube mtaona kwenye post wameonyesha
 
Kwani, Daudi alipo R.I. P ukoo wa GOLIATH na ndugu zake hawakuwa na vilio au hawakuwa waathiriwa?
Ku- R.I. P inategemea ulizitumiaje dakika zako za mwisho hapa duniani.
Dakika za mwisho ndipo alipofanya maovu ya kutisha kwa hiyo jehanam panamuhusu!
 
Back
Top Bottom