Maji yaadimika Nairobi

Kenya nchi ya hovyo sana

Nairobi 70% hawana tap water wanategemea browsers na maji machafu ya miferejini, kuna mambo Tanzania wanachukulia poa ila kwenye nchi nyingine ni serious issues

Kama Nairobi Ina water crisis kubwa hivi, hizo counties za pembeni zina hali gani?
Yaani Tz tunawacheka Kenya kwenye issue ya maji, mbona maajabu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom