Maji ya shingo Great thinkers

what goes around comes around! Sasa ni wakati wako kulipa! Unajua malipo huwa ni hapahapa duniani. Hata usimuonee huruma kabisa kumumwaga maana hata ukimkubali utajutia tu baadaye!
 
mambo ya watoto,mapenzi ya kitoto tuu,sasa hujui kama unampenda?au unataka tukusaidie kitu gani?chagua au kama unaona huruma waambie utawaoa wote wawili, secong wewe yaelekea unapenda kijinga,unakonda kupenda tu ukiwa mdogo sana, jaribu kuyashape maisha yako kwanza, mapenzi utayakuta tuu,jaribu kuyachukulia moderatelly!!
 
Mwana nimesema kuwa ninaye mpenzi, nampenda sana tu, huyu namchukulia kama rafiki kutokana na heshima niliyojijengea kwa familia yake.
Na swala la mapenzi, sidhani kama yana muda maalum, lakini ndo hivo, kama haijakutokea then mshukuru Mungu mhishimiwa, ila usiombe yakukute.
 
what goes around comes around! Sasa ni wakati wako kulipa! Unajua malipo huwa ni hapahapa duniani. Hata usimuonee huruma kabisa kumumwaga maana hata ukimkubali utajutia tu baadaye!

Siwezi kuwa naye, maana kila nikikumbuka yaliyopita namuona kama mnyama fulani aliyependa kuniona naumia kila wakati.
Kulipa kisasi cha mapenzi siwezi as nitakijutia kwa muda mrefu sana.
 
kwa hiyo wewe hukumtoa hata hiyo bikira ezni hizo, duh pole sana. Na huyo uliyenaye siku akikuacha nadhani unaweza kujinyonga. Any way huyo tayari atakua ni malaya sana, sasa anaweza kukuambukiza na magonjwa na jinsi unavyoonekana ni mdhaifu wa maswala ya mapenzi siku ukikutana nae utashijndwa kukataa kudanya nae mapenzi maana kama umeshindwa kumwambia ukweli kuwa unaye umpendaye, then what?
 
Kwanza kabisa nianze kwa kusema Shikamooni nikiamini wengi wa member ni watu wazima na wenye heshima na familia zao. Mimi bado ni kijana wa miaka 21 na nipo chuo kikuu mwaka wa pili. Nisirefushe sana maelezo, kisa changu ni hiki,

Miaka kadhaa iliyopita nilipokuwa sekondari nilikuwa na msichana ambaye tulipishana kidato kimoja, na ndiye alikuwa msichana wangu wa kwanza, nami nilikuwa wake wa kwanza, kwa maana kwamba alikuwa bado bikira.
Nafikiri wengi kama haijawatokea basi mmesikia jinsi mpenzi wa kwanza anavyokuingia moyoni, labda kwa sababu ya ugeni wa fani. Nilitokea kumpenda sana yule binti na nikawa sisikii wala sioni kwake. Tatizo likaja pale alipogundua kuwa nampenda sana, basi akaanza kuniletea pozi nyingi zisizo na mpango. Mara ataibuka tu na kusema, nafikiri tuachane, kwa sababu kama, anataka asome sana, mara hatuwezi changanya mapenzi na elimu, mara mimi ni kiongozi wa dini hapa shuleni hivyo natakiwa kuwa mfano au kuna mtu anampenda, na sababu zisizoeleweka, mimi nikawa naona kuwa kuna kaukweli ndani yake, lakini ilikuwa ngumu kukubali kwa kuwa tayari alikuwa ndani ya moyo wangu, na ingawa nilikuwa mwanafunzi niliweka nadhiri kuwa sitakuja mwacha.(Tuliishi vile bila kukutana kimwili hadi siku moja akaniuliza kama nilikuwa kamili, nikamjibu kuwa wakati wake ukifika atajua.) Basi nikawa nasononeka sana hadi wakati mwingine nikawa napoteza uzito kwa kumuwaza, na uwezo wangu darasani ukawa unashuka, kila nikimfuata anakataa hadi inapotokea marafiki zangu wanapomfuata na kumbembeleza ndipo anakubali. Hii imetokea zaidi ya mara moja . Siku moja mmoja kati ya rafiki yake alinionea huruma na kuniambia kuwa huyo msichana wangu alikuwa anafanya vile pale tu anapojisikia, yaani akiamua kunikondesha ananikondesha, alikuwa anawaambia wenzake ngoja nimchemshe flani, ilikuwa kama aina ya mchezo wake kwangu, hivyo akanishauri niachane nae, lakini bado nilishindwa hadi nilipomaliza kidato cha nne na kuondoka shuleni ndipo nilipomsahau.

Sasa nipo nje ya nchi ninasoma na imetokea mimi na yule binti tumeanzisha upya mawasiliano tu, siku moja wakati tunaongea nikamuuliza kiutani kwamba alikuwa anaonaje kama turudishe uhusiano wetu??, binti wa watu akakubali bila matatizo, na kwa sasa anaonesha mahaba haswa, haipiti saa kani sms au kupiga kabisa, isitoshe amemwambia mama yake kuwa tumerudiana. Sasa hapo ndipo linapokuja tatizo kwani nilikuwa namtania tu na isitoshe nina mpenzi kwa sasa ambaye tunapendana kiukwelia kwelia.Kumwambia nilikuwa namtania naogopa maana sijui itakuwaje, mbaya zaidi katika maisha yangu huwa najisikia fedheha sana pale nimuonapo mwanamke akillia achilia mbali nikiwa chanzo.

Ndugu zangu najua nilikosea pale nilipotania kwani nilijua atakataa kwa kuwa alishawahi niambia hanipendi, Naombeni msaada wenu, akili imestaki.((
Kumwambia siwezi na kuendelea kukaanalo siwezi maana nahisi namsaliti mpenzi wangu.
Msaada wana JF.
Ah watu wengine bwana, yaani wewe ile kumwambia tu kuwa usinifatefate ulimi unakuwa mzito, wewe mwana wa kiume ndugu yangu-utakumbana na mengi mazito zaidi ya hilo ya kuyatolea uamuzi. Kaza buti hilo.
 
Wizi mtupu!Kama unabisha mpigie simu na umwombe samahani kwa kumtania vibaya.
 
Kama ulikuwa unamtania,endelea pia kumtania kwenye kale kamchezo,coz kale kasehemu Mungu amekipa free will,thats y tunaweza kachezea kama tunavyopenda,lakini kumbuka kuwa utakuwa unamtania hata huyo unayehisi unampenda kweli!!Swali kwako,je ukirudiana naye ukakuta bado bikira utafanyaje?
 
zingatia masomo,sasa ukimrudia huyo za zamani uliyenae sasa utamwambiaje? huoni kwamba utaongeza tatizo juu ya tatizo.jitahidi kuwa mtu wa misimamo na simamia misimamo
 
Siyo bikra tena mrume!!!
 
zingatia masomo,sasa ukimrudia huyo za zamani uliyenae sasa utamwambiaje? huoni kwamba utaongeza tatizo juu ya tatizo.jitahidi kuwa mtu wa misimamo na simamia misimamo

Mkuu umeniquote vibaya, sijasema nataka kumrudia wa zamani, ni jinsi gani ya kumwambia kuwa nilikuwa namtania. Wala siwezi hata kufikiria kumrudia!!
 
Ah watu wengine bwana, yaani wewe ile kumwambia tu kuwa usinifatefate ulimi unakuwa mzito, wewe mwana wa kiume ndugu yangu-utakumbana na mengi mazito zaidi ya hilo ya kuyatolea uamuzi. Kaza buti hilo.

Kuna maneno ambayo yanahitaji moyo sana kumwambia mtu hasa pale unapokuwa na moyo wa huruma kama niliokuwa nao mimi. Inavyoonesha ameshajijengea akilini kwamba nampenda sana, thus inaniwia ngumu kumrudia.
 
We kijana zingatia masomo kwanza, inaonyesha bado haujakuwa mkomavu kwenye masuala ya mapenzi bado. Kwa nini unamtania mtu juu ya masuala ya kimapenzi ULIKUWA UNAMTAMANI NDIYO MAANA. ACHANA NA PEPO LA NGONO, SOMA KWANZA.
 
Back
Top Bottom