Maji ya mvua ni salama kwa kunywa?

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Wanageo science na wabobezi wa geography na yeyote mwenye elimu ya afya kuhusu maji ya mvua ni salama ukiyanywa bila kuchemshwa. Naomba ushauri nimekuwa nikiyakusanya kwenye matank hapa kwangu na kuyatumia kunywa na kazi zingine.

Je maji ya mvua bila kuchemshwa ni salama?
Nawakilisha
 
Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.

Pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.
pia mvua inapo acha kunyesha kwa muda mrefu Bati huchafuka kwa vumbi, kunyesi cha ndege na mambo kama hayo. hivyo maji ya kwanza usiruhusu yaingie moja kwa moja kwenye tanki lako acha maji hayo yamwagike chini hadi uone badi limekuwa safi ama maji yameanza kuwa safi ndio uruhusu maji hayo kuingia katika tanki.
nakushauri pia kila baada ya muda fulan basi uwe unaweka chumvi katika tanki hilo la maji pia usisahau kuwa unayatibu kwa water guide.
maji hayo yatakuwa salama kwa matumizi ya nyumbani kwako.
 
Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.
pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.

Mkuu chumvi inasaidia nini?
 
Mie hata kama maji ni ya mvua lazima nichemshe kwa sababu lazima yapitie kwenye bati/gutter hivyo sio
Salama kwa 100%
 
Hapa mkuu panaitajika wataalamu naona mtu ajui chochote kuhusu usalama wa maji ya mvua anaropoka tu kama ujui ni vema kukaa kimya wangi tunatumia haya maji tunaitaji ufafanuzi kwa faida ya weng
 
Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.
pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.
pia mvua inapo acha kunyesha kwa muda mrefu Bati huchafuka kwa vumbi, kunyesi cha ndege na mambo kama hayo. hivyo maji ya kwanza usiruhusu yaingie moja kwa moja kwenye tanki lako acha maji hayo yamwagike chini hadi uone badi limekuwa safi ama maji yameanza kuwa safi ndio uruhusu maji hayo kuingia katika tanki.
nakushauri pia kila baada ya muda fulan basi uwe unaweka chumvi katika tanki hilo la maji pia usisahau kuwa unayatibu kwa water guide.
maji hayo yatakuwa salama kwa matumizi ya nyumbani kwako.
Mkuu hapa umenena. Tena haya mabati au vigae vya wapi sijui vyenye viupele upele vinavyoweza kuwa vinabanduka taratibu vikichanganyika na maji ya mvua na kuingia kwenye tank na kisha kunywewa naona ni hatari zaidi. Hii nadhani haijalishi kama maji yenyewe yamechemshwa au la!
 
maji ya mvua si salama ata chembe ata kama utayakinga bila kupitia kwenye bati juu anga uko yapitapo yanakutana na hewa nzinto sana na chafu ambayo uwa inaishia uko juu
 
Hivi watu wanao tumia maji ya mvua bila hata kuchemsha na watu wanao tumia maji tofauti na mvua ni wepi wanaougua na mgonjwa ya tumbo. maji ya mvua mi nakunywa lakin maji ya bomba nayaogope tena sana. Maji ya mvua ndugu Usiogope ni salama kabisa wewe siyo wa kwanza kutumia kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru wengi wetu tumenitumia maji ya mvua . wewe chunguza ugonjwa wakipindupindu maeneo gani yanayathirika zaidi maeneo ambayo watu wamechimba visima vya maji ya mvua akuna kipindupindu
 
Mie hata kama maji ni ya mvua lazima nichemshe kwa sababu lazima yapitie kwenye bati/gutter hivyo sio
Salama kwa 100%
Maji ya kuchemsha hayana ladha. Sithubu kabisa kuchemsha kwasababu ukichemsha unaua vile vijidudu, alafu vikifa si vinakuwa marehemu?!! Vikioza sasa!!! Bora kuvinywa vizima na utamu wake.
 
Nafikiri Ni salama kama utayakinga moja kwa moja bila kupitia batini.
Ila hayana zile chemicals kama chroline nk, yako pure sana hivyo hayawezi imarisha meno.
 
Wanageo science na wabobezi wa geography na yeyote mwenye elimu ya afya kuhusu maji ya mvua ni salama ukiyanywa bila kuchemshwa. Naomba ushauri nimekuwa nikiyakusanya kwenye matank hapa kwangu na kuyatumia kunywa na kazi zingine.

Je maji ya mvua bila kuchemshwa ni salama?
Nawakilisha
Nawasilisha
 
Maji hayo uliyoyaka kwenye tanki si salama kama utayatumia kwa kunywa moja kwa moja bila kuchemsha au pasipo kuyatibu kwa dawa ya chlorine ama water guide.
maju ya tanki yanapokaa kwa muda mrefu wadudu huzaliana katika maji hayo na hivyo endapo utayatumia moja kwa moja badi utakuea katika hatari ya kuapta magonjwa.
pia kuwa na utaratibu wa kusafisha tanki kila matmra ba kuondoa uchafu unaotuama hii itasaidia maji hayo kuwa na usalama zaidi.
pia mvua inapo acha kunyesha kwa muda mrefu Bati huchafuka kwa vumbi, kunyesi cha ndege na mambo kama hayo. hivyo maji ya kwanza usiruhusu yaingie moja kwa moja kwenye tanki lako acha maji hayo yamwagike chini hadi uone badi limekuwa safi ama maji yameanza kuwa safi ndio uruhusu maji hayo kuingia katika tanki.
nakushauri pia kila baada ya muda fulan basi uwe unaweka chumvi katika tanki hilo la maji pia usisahau kuwa unayatibu kwa water guide.
maji hayo yatakuwa salama kwa matumizi ya nyumbani kwako.
Water guard
 
Usalama wake unategemeana na

Region uliyoyapata (Industrial area au Eneo lisilo na viwanda vingi)

Jinsi ulivyoyakusanya eg bati, chombo cha kuhifadhi n.k

Lakini maji ya kwenye mvua ni pure distilled na hayana vimelea. Hamna wadudu au madhara kuadhiri afya yako. Labda kama kuwe na Impurities ambazo sio sahihi zilizokutana na maji hayo wakati wa circle yake.
 
Back
Top Bottom