NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,733
- 2,327
Labda hiyo miaka 5 kipindi cha mvua ulikuwa upo Dole au Kitope
Alikuwa mwembe mchomeke,
Labda hiyo miaka 5 kipindi cha mvua ulikuwa upo Dole au Kitope
achana na zanzibar, unajua hata kisiwa cha ukerewe kule mwanza kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kupungua ukikaa miaka mi5 ukirudi unakuta maji yamesogea sana kuja vijijini
Inaonekana miaka ya vizazi vijavyo itakuwa ni historia tuHata huku goziba, nkome, itabagumba, seronera ,juma na ghana ,kote hali ni hiyo
Acha kujifanya una uso wa mbuzi...najua kuna watu wanaitwa Mtumwa lkn neno watwana linavotumika kuadress wabara ni kwa mtazamo wa kibaguzi "eti watwana wa bara" kuwa bado mnapalilia na kuenzi biashara ya utumwa. Mtwana ni mtumwa. Ni kinyume cha bwana. Acha hizo bintii!!Wewe unajiita linguistics halafu unashindwa kuelewa kuwa mijitu / mitwana vyote ni katika utamu wa lugha?
Nimefafanuwa kiduchu kuhusu mijitu hapo juu, amma kuhusu watwana mbona ni sifa nzuri tu na mpaka wengi wetu hupewa jina Kitwana.
Tatizo lenu ni lugha, hiki Kiswahili kwenu ni lugha ya kambo, kwetu ni lugha mama.
Tumekoma mamaBamvua na mvua ni tofauti kabisa.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Mnasikitisha sana kuwa finyu kiasi hata bamvua hamlijuwi.
Badala ya kuuliza mpate faida, nyinyi kitu hamkijuwi mnaona nimekosea kuandika. Dah!
Tumekoma mama
Kwanini usitake udugu na waKenya manake huna haja hata ya kuvuka bahari.Pamoja na hayo bado sisi ni ndugu majanga ya bara ni majanga ya zanziba na majanga ya zanzibar ni majanga ya bara tuachane na wanasiasa uchwara tuulinde muungano wetu sisi wote ni wamoja.
Kuzama kwa kisiwa huanza hivi hivi jaman..ikitokea maji yamejaa sana kila upande itakuwaje
Watu na siyo MIJITU.
Hapana mwanzo alikuwa akikaa mafinga kabla ya doleAlikuwa mwembe mchomeke,
Bamvua ndiyo kama ilivyotumika hapo na siyo mvuaBamvua=mvua.
We si unaona wanavobaguana kiukweli ukweli? Wao wapemba sie waunguja, mara wao wa oman, mara wao cuf sie ccm.. Lkn pia wanapenda sn hiyo kauli ya mijitu/ mitwana ya bara...shame on them!!
MtwanaWewe kabila gani?
...teh teh teh teh....Mtwana Kitwana Mbwana.....'binti' Faiza kakuelewa!Mtwana
Ahaaaa, kwendabara majaliwa. Umeeleweka.Mtwana
Wewe mzinjibar usiwe zuzu eti hali ya kawaida! I can assure you that is a bad signal - Indonesia, Japan and the like they never knew when it's coming. Better watch NaGeo channel and understanding how the unexpected can happen.Hao waandishi wa itv itakuwa ni mijitu ya bara na hawakuchukuwa fursa ya kuwauliza wenyeji kuhusu hali hiyo.
Hiyo ni hali ya kawaida sana Unguja wakati wa bamvua kubwa.
Kuna wakati barabara ya forodhani Unguja huwa haipitiki msimu wa bamvua kubwa.
mijitu mmhHao waandishi wa itv itakuwa ni mijitu ya bara na hawakuchukuwa fursa ya kuwauliza wenyeji kuhusu hali hiyo.
Hiyo ni hali ya kawaida sana Unguja wakati wa bamvua kubwa.
Kuna wakati barabara ya forodhani Unguja huwa haipitiki msimu wa bamvua kubwa.
Watch your mouth!Mijitu ya bara ni kina nani?!?!?! Nani asiyejua kuwa hali ya hewa inabadilika. Nani asiyejua kuwa Zanzibar itakuja kuzama yote?!?!?!??!Hao waandishi wa itv itakuwa ni mijitu ya bara na hawakuchukuwa fursa ya kuwauliza wenyeji kuhusu hali hiyo.
Hiyo ni hali ya kawaida sana Unguja wakati wa bamvua kubwa.
Kuna wakati barabara ya forodhani Unguja huwa haipitiki msimu wa bamvua kubwa.
Watch your mouth!Mijitu ya bara ni kina nani?!?!?! Nani asiyejua kuwa hali ya hewa inabadilika. Nani asiyejua kuwa Zanzibar itakuja kuzama yote?!?!?!??!