...........maji pipa tano kwa mikono toka mtoni!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...........maji pipa tano kwa mikono toka mtoni!!!

Discussion in 'Entertainment' started by Akili Kichwani, Jul 23, 2011.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  .........nichote maji pipa tano kwa mikonoo,
  kutoka mtoni,
  fikiri,
  nitaweza vipi!!

  kiitikio:
  Amina kipenzi changu
  mimi sitaweza,
  agizo la wazazi wako linaniwia vigumu...............

  (kasauti ka loviii kaningilia)
  pendekezo langu mama
  kukupata wewe amina,
  masharti niliyopewa na wazi wako
  sitaweza.............

  Amina kipenzi changu
  mimi sitaweza,
  agizo la wazazi wako linaniwia vigumu...............


  jamani mniwie radhi, ...................huu wimbo siukumbuki vizuri, ..................nakumbuka ulipigwa na super lovii kama sikosei................ (wakongwe mtanisahihisha)............. nimeusaka youtube, hakuna kitu............... naomba jamani kama kuna mtu ana clip yake hata audio tu, atuwekee jamani, tuburudike................ hata lyrics zitafaa kama clip itakuwa issue................. dah, OLD IS GOLD!!!!!!!...........
   
Loading...