Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

Asante sana mheshimiwa Zitto Kabwe kwa kulitazamia suala hili, binafsi ninaumizwa sana na tatizo la Maji kwa jinsi linavyotukumba nchi yetu ya Tanzania. Tanzania ni nchi yenye maziwa na mito mingi sana na ni kati ya Nchi inayozungukwa na Bahari ya Hindi lakini bado ni nchi yenye matatizo makubwa ya Maji -- Tunakwama wapi?
 
Binadamu hatuishi kulaumu na kulalama - Serikali imefanya makubwa - tatizo upofu wa kisiasa nao husababisha watu kutoona nini kimefanywa na Serikali
 
Binadamu hatuishi kulaumu na kulalama - Serikali imefanya makubwa - tatizo upofu wa kisiasa nao husababisha watu kutoona nini kimefanywa na Serikali
Nakubaliana na wewe pia naunga mkono heading ya mtoa post(tatizo la maji ni mtego wa umaskini).
 
Kwenye para ya pili ondoa neno "millioni" kabla ya hizo "digits" ili usomeke vizuri.

Umechapia.
 
Inabidi waje mijini - Ila watapata taabu sana kwani hata mjini maji ni janga kubwa. Huna mia 5 hupati dumu la maji maeneo yetu
 
Katika ziara zake zote Magufuli watu waliomba ndege na matren ya umeme? Bado tu hajifunz? Bas tuko gizan
Barabara zina tija ila sio kutumia million 80 kujenga barabara ya Morocco to Mwenge, eneo hilo tayali lina barabara nzuri
 
Maji ni jambo lilopaswa kukamilika miongo mingi iliyopita.
 
Tanzania tatizo siyo takwimu, tatizo ni CCM, wanatengeneza Sera ambazo hazina tija na unyumbu (ncertainty policies and herding behaviour'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…