Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura watu ambao hawawezi kuleta maji na kutegemea mvua kwa miaka 60! Walisema tutauza umeme nje leo kuna mgao!
Yaani hawa si wenzetu tupiganie uhuru wa nchi hii nchi haipo huru kuchagua, mahakama haziko huru ni lazima tupigane mpaka mwisho
Yaani hawa si wenzetu tupiganie uhuru wa nchi hii nchi haipo huru kuchagua, mahakama haziko huru ni lazima tupigane mpaka mwisho