Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

By 2015 wataerevuka tu
yeah! tuombe uzima tu, na bilashaka hadi hapo wale watoto wa manamba watakuwa wamemaliza kidato cha 4 shule za kata watawaelimisha na wazazi wao.....
ni aibu sana kwa jimbo kuwa na mwakilishi asojua kusoma wala kuandika hata neno father, eti anategemea binti yake anayesoma form 6 amtafsilie...
 
KUMBE na mabingwa wa kuruka hewani usiku nao hukimbilia mahakamani?,Eeeee.....ramli na tunguli zimeshindwa safi sana.kumbe sayansi ipo juu ya uchawi .....basi nenda ila utachemka tu,mshirikina soma mambo ya nyakati.
 
Huyu alikwenda kuroga kesi Kisutu akadakwa

Hii habari mbona ni ya siku nyingi nakumbuka kipindi cha Uchaguzi wa Arumeru East.
Hata kama Maji Marefu atakuwa ameamua kwenda Mahakamani hana ubavu wa kushinda kesi hii maana hana sifa!
  1. Yeye ni class 7 aliye-fail.
  2. Yeye ni mganga wa kienyeji au mtu wa tunguli.
  3. Yeye ni gamba la CCM ambalo haliwezi kushindana na nguvu iliyoko CDM.

Ninamshauri aachane na hiyo kesi maana itakula kwake!
 
Le profeseri......dah yaani kz kwelikweli hv kupiga picha na mtu ni kosa...????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…