Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

Upeo wa mtu unajulikana kutokana na matendo yake, sasa hapa ni picha tu bila maandishi mtu anakuja juu, lakini tujifunze kitu kwa aina hii ya wabunge.
 
Jamaa alizua mambo uko KENYA kwa kiongozi fulani wa serikalini baada ya kusema kua "marehemu alirogwa na bi mkubwa" familia ilisambaratika na kuanza kugombana,nakumbuka kipindi icho simba ikienda kucheza NAIROBI nasikia kua prof maji marefu kawapokea uko Nairobi nikadhani bonge la mtuuu!kumbe haaaaaaaaaa
 
Huwa najiuliza hivi wabunge kama hawa si tunawalipa pesa za bure tu, hii nchi bwana! Maji Marefu, nenda ukawaroge wewe si Professor wa mambo hayo? Mahakama yako si hii ya kawaida, unapoteza muda!
 
Wmchome moto kwani yeye ni mchawi?
 
Kuishitaki CDM ndo inayomiliki gazeti? naona kachanganyikiwa huyu mganga wa kienyeji
 
Naona kajaribu kutumia matunguli "kuiadhibu" CHADEMA akashindwa sasa mbio mahakamani........ngoja na yeye tumpelekee mahakama ya kura 2015
 
Yaani kila kukicha magamba wanakuja na mpya kali kuliko ya jana! Yaani kwa akili ya majibaridi na maelezo yake anacho kijua yeye ni kwamba picha imepigwa na Chadema wakaiphoto shop halafu wakawapa mwananchi waichapishe! Hahaha

"Mbona mna akili za samaki nyie" Dr Karume 2012.
 
Kwani kuna kosa gani kuwa jirani na Nassari mbona sijamwelewa ama amesahau nani alikuwepo, labda wamemtisha waliomweka madarakani akaona kuna kuwekwa pembeni. Awe wazi tu!!

Nassari ni mtoto wa mchungaji so kuwa karibu nae mapepo yake yanakosa furaha, amani na utulivu.
 
Hana haja ya kushtaki kwa nini asiwaloge au kuwatumia majini?
 


Tatizo ni uelewa na huyu sangoma,yeye alishitaki kwanza gazeti na gazeti ndilo litasema limepata wapi picha hiyo,vilaza wa CCM huwa hampati ushauri toka ndani ya chama kabla ya kuongea na media au kukurupuka na kutoa shutuma!
 
watu wengine bwana utadhani ni wa darasa la kwanza, kwani kupiga picha na hao wabunge wa CDM ndo kumdhalilisha mbele ya jamii? kwani hao aliopiga nao picha ni majambaz au.. ukomavu wa kisiasa unahitajika sana!
 
Maji marefu wewe ni msomi uliyebobea mpaka kufikia hadhi ya kuwa profesa, wanafunzi wako wa chuo kikuu wakiona hii habari hawataipenda kabisa.

Nawe laana inakuandama.Papaaa Maji Marefu Bingwa wa Dill za madawa ya kulevya.
 
Naona kajaribu kutumia matunguli "kuiadhibu" CHADEMA akashindwa sasa mbio mahakamani........ngoja na yeye tumpelekee mahakama ya kura 2015
mkuu jimbo analoliongoza linahitaji nguvu ya ziada, wapiga kura wake asilimia kubwa ni wajinga wajinga kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…