Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

Hana lelote uyo mchawi akawaloge wanga wenzake,cdm ha2na imani zakishirikina.TULIANZA NA MUNGU TUTAMALIZA NA MUNGU.
 
Kweli tunasafari ndefu. Mpaka yule bibi yangu kule kijijini afunguke akili, sijui ni lini kama wabunge ndo kama hawai!!!??
 
Cheki mipete ileeee mikubwa mikubwa ya akina JK amevaa prof hapo!
 
maombi na uchawi havitengamani wakati akienda alikua ktk hali ya uchawi na hakumwona mtoto wa mchungaji asubuhi anaona gazeti anakana sishangai hata akijikana c yeye kwenye gazeti yawezekana ni mzimu wake alienda kambi ya cdm maombi ya wana wa Mungu yakamwumbua
(hakumwona mpakwa mafuta Nasari)
 
Jamani kwani hii nchi ina endeshwa kwa sheria zipi. hivi mtu ambaye hajasoma anaweza kuitwa profesa? Mimi nilidhani ana phd kutoka university. Hebu tcu mfuatilie hizi phd na prof za huku mitaani jamani mnatuchanganya sisi wananchi
 
amesoma pale muhas enzi zile ipo chini ya udsm ikiitwa muchs. pale pana kitengo cha traditional medicines. Sasa sikumbuki kama alibaki pale kufunza mpaka akafika level ya uprofesa au alipomaliza alienda chuo kingine
 
Kwa gazeti la Mwananchi hii siyo mara ya kwanza kuchakachua picha. Wanajamii forums hamkmbuki namna Mwananchi mwaka 2005 lilivyochakachua picha ya Dk. Salim Ahmed Salim wakafanya copping ya kishenzi ikimuonyesha akiwa na sultan na viongozi wa Hizbu na kuwatoa katika picha hiyop watu wengine? Mwananchi ni gazeti la Kenya na liko hapa nchini kwa ajenda maalum, nayo ni kuleta machafuko nchini Tanzania.
 
Du PUROFESA! hapa umechemsha, kuna hatari ya siku nyingine kuzikana pete zako zinazoonekana hapo kwa kudai na zenyewe zimeunganishwa. Mbaya saana.
 

Caught red-handed......."it wasn't me!"
Ha ha ha nenda kamsikilize Shaggy, unatia aibu.....
 

adobe photo shop
 
kwani siasa ni uadui??? mara ngapi tumeona picha za mbowe akifurahi na JK au pinda akifurahia jambo na wabunge wa chadema!!!!!!!1 Hebu mwenye picha hizo atuwekee jamvini tulinganishe..
 
Kwanini awashitaki yeye si ni Mchawi wa kienyeji. Atumie uchawi wake kumaliza mambo.
 
kwani sura yake ya Uganga nani anitaka, aende zake uko au awarudi kwa kuwaloga
 
Tutajuaje ni photo shop nae atathibitsiuhaje kuwa hakauwahi kupigwa hiyo picha...
 
huna kazi za kufanya nini? dawa yako ni Njoo Ufanyiwe Maombi, Njoo Uombewe, njoo kwa Yesu kwani hayo matunguri yanakupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…