Mwigulu nchembapumba lazima badae zijitenge, tulianza na Mungu na tumemaliza naye, wao walianza an majimarefu na wamemaliza na majimarefu.
na leo imethibitika kuwa nani kachanjwa na majimarefu hadi kunako kwani sisi tulikuwa na Mungu toka mwanzo
Niwalambe nisiwalambeeee? Ooooooh! Wadau sory sory nimejisahau maana jamaa alitumia hili neno sana mpaka limetuathiri nafuta kauli !!!
Sasa nasema tulianza na mungu tumemaliza na mungu .......je wenyewe walianza na naniiiii?