Mkuu msaada hapo kwenye maji katoliki
yah....kwamba hiyo katoliki imekujaje......
Huu ni uhuni...hapo katoliki inakujaje..?( au unamaanisha maji ya baraka)
Watu watatu walibugia maji
katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba
wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6.
Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye mvua mvua, mara radi ikalia, basi
jamaa wale kusikia vile bado kidogo wavunje miguu kwa kukimbia huku na
kule wakijua kuwa ni parapanda ndo ishalia hivyo kuashiria mwisho wa
dunia.
Ama kweli maji Katoliki ni sooo
acha upumbavu wako aliyekwambia wakatoliki wote walevi nani? Jiheshimu unatuharibia mudi badala ya kutuchekesha kenge we.
Mkuu msaada hapo kwenye maji katoliki
Watu watatu walibugia maji katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6.
Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye mvua mvua, mara radi ikalia, basi jamaa wale kusikia vile bado kidogo wavunje miguu kwa kukimbia huku na kule wakijua kuwa ni parapanda ndo ishalia hivyo kuashiria mwisho wa dunia.
Ama kweli maji Katoliki ni sooo
fikiri kabla ya kutenda
Huelewi nn sasa hapo
wakatoliki punguzeni jazba. maji katoliki has nothing to do na udini, ni slang inayo-refer pombe ya aina yoyote. sometimes pombe huitwa maji ya baraka, maji ya dhahabu etc. sasa kweli beer ni maji ya dhahabu? mie mwenyewe ni mkatoliki tena nilikoswa koswa kuwa sister/nun....but hii kitu sikuifikiria kama nyie wenzangu
SO it is just a slang!