Emmanuel Mkwama
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 165
- 122
Hanasa maana yake ni Nini? Halafu huko hakuna diwani wala mbunge, ? Kwanini usimwambie Juma Awesu?Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).
Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.
Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.
Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.
Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!
Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.
Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.
Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutana hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 kama sikosei ama 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kushare na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.
Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.
Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua ili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji
Mimi binafsi njia rahisi ndio hii sina access ya kuweza kumpata Mh. Aweso kirahisi zaidi ya hapa. Ukisoma vizuri maandishi yangu utaona kwa jinsi gani tulivyo angaika kuweza kupata na kutafuta huduma ya maji. Samahani sana kama nitakuwa nimekukwanza ama maandishi yangu yanashida tafadhali niwe radhi tupo tofauti mkuu.Hanasa maana yake ni Nini? Halafu huko hakuna diwani wala mbunge, ? Kwanini usimwambie Juma Awesu?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Serikali bado ipo imara mkuu,tatizo watu wachache ambao awataki kutimiza wajibu wao.Serkali imeoza hii kila mtu kambare
Asante mkuu,kiukweli imekuwa shida na kero kwetuPoleni sana.....
Hakuna mbunge huko mpaka nyie mhangaike kiasi hicho, mbona kuna diwani kule Songwe alijigaragaza mbele ya waziri wa maji Jumaa Aweso akapatiwa Milioni 500 pale pale. Nyie inaonekana wajeuri flani mnashindana na viongozi. Eneo lina diwani, lina mbunge halafu eti wananchi mnajihangaikia wenyewe? HuelewekiMh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).
Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.
Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.
Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.
Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!
Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.
Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.
Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakonongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme🙏.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutaja hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 ama la sikosei miezi 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kuchangia maji na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.
Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.
Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua hili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji🙏🙏
Sitaki kuliongelea swala la ujeuri kwa viongozi ila nichokijua tungekuwa na ujeuri japo kidogo,nahisi tungekwisha pata huduma hii muda mrefu sana.Hakuna mbunge huko mpaka nyie mhangaike kiasi hicho, mbona kuna diwani kule Songwe alijigaragaza mbele ya waziri wa maji Jumaa Aweso akapatiwa Milioni 500 pale pale. Nyie inaonekana wajeuri flani mnashindana na viongozi. Eneo lina diwani, lina mbunge halafu eti wananchi mnajihangaikia wenyewe? Hueleweki
Viongozi ngazi ya Kijiji,Kata na Wilaya hawapo!?Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).
Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.
Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu ambayo ni maarufu kwa kuhusika katika kuchangia kuijenga Singida yote kwa kutumia malighafi yake muhimu inayopatikana kwa wingi ambayo ni madini ya mchanga.
Pamoja na yote haya lakini kiukweli huduma ya maji kwetu ni shida sana labda uwenda hatuna viongozi sahihi wa kuweza kufuatilia kwa usahihi mahitaji yetu muhimu.
Mh. Rais imefikia hatua tunashare maji na mifugo ivi kweli,tena hapa hapa Manispaa...!
Mh. Rais kiukweli kwa muda mrefu wananchi wachache tumekuwa tukipambana wenyewe,tumekwenda mara kwa mara ofisini pale idara ya maji kwa vipindi tofautitofauti na kwa awamu tofautitofauti pia,lakini majibu yanakuwa yaleyale ambayo vitendo hakuna.
Pia tumejitahidi kuonana na mkurugenzi Warioba,pia kabla yake tulianza kuona na Eng. Lubango Muwelu lakini wote majibu yao yale yale ambayo leo naweza kusema tumeshindwa kuwashawishi ili kupata maji. Tuliomba hadi tufanyiwe tathmini ili tuyagharimie sisi wenyewe lakini tuligonga mwamba.
Mwisho wa siku walituambia tatizo hakuna huduma ya umeme kwenu ndiyo maana huduma ya maji inakuwa shida kutuletea. Kiukweli tulichoka,tukaona ni way kwa sababu kwa kipindi icho hakukua na dalili za kupata umeme. Lakini Mungu si athumani tulikuja kubahatika kupata huduma ya umeme tena kwa kupambana sana tena sana hadi ilifika hatua mh. Diwani anatuambia sisi wakonongo(akimaanisha watu wakuja) tunataka Udiwani wake. Lakini nashukuru Mungu TANESCO ya Singida iliweza kutuelewa na tukafanikiwa kupata huduma ya umeme🙏.Tulikuja kukaa karibu mwaka mzima tulijaribu tena kufuatilia maji matokeo yake tulikuja kuambiwa diwani wenu aleti ushirikiano kaeni nae vizuri. Kiukweli tulipo kuja kufuatilia tulikuja kugundua anatageti nayo hayo maji kwa ajili ya jambo lake. Kiukweli tangia hapo tulikuwa tukienda hapo suwasa Singida tupigwa karenda tu mwanzo mwisho. Kiukweli ilifikia hatua mkurugezi akakutaja hadi wewe Mh. Rais SAMIA S. HASSANI ya kwamba kunafungu limetengwa pia kuna mradi upo wa mama SAMIA nchi nzima ambao ni mradi utakao anza kazi ndani ya miezi kama sikosei ni miezi 24 ama la sikosei miezi 32 lakini hadi sasa inaenda mwaka na miezi kadha lakini hakuna dalili yeyote yani hata kuchimba mitaro waliotuahidi wangeanza kufanyia kazi.
Kwa sasa tumeletewa huduma ya vioski vya kujiendesha kwa kutumia solar power ambavyo kwa namna moja ama nyingine wamepunguza changamoto. Lakini kiukweli changamoto ya maji bado ipo pale pale ila wamepunguza ile changamoto ya kuchangia maji na mifugo. Lakini kiukweli maji bado ni shida kwa kipande chetu huku kwetu mungumaji- Singida.
Kiukweli Mh. Rais tunaomba msada wako kupitia waziri wako Mh. Juma Aweso aweze kutusaidia kumaliza ili tatizo.
Tunatanguliza shukran zetu za dhati zikufikie tukiwa na matumaini ya dhati mtatusaidi kutatua hili tatizo letu la maji.
Kwa niaba ya wananchi wa Mungumaji🙏🙏
Mkuu, shukran. Ila nahisi kama hunielewi.Viongozi ngazi ya Kijiji,Kata na Wilaya hawapo!?
Serikali bado ipo imara mkuu,tatizo watu wachache ambao awataki kutimiza wajibu wao.
Hahah..... Asante mkuu,kesho tumia akili pasipo kuingiza hisia mkuu.Mpumbavu wewe na hamtapata maji kwa hizi akili
Serikali ingekuwa imara kama unavyodai usingekuja kulalamika huku bali ungefuata taratibu za kiuongozi kufikisha hoja zako.Serikali bado ipo imara mkuu,tatizo watu wachache ambao awataki kutimiza wajibu wao.
Nashukuru kwa kunisahihisha kwenye neno hanasa badala ya Anasa🙏Serikali ingekuwa imara kama unavyodai usingekuja kulalamika huku bali ungefuata taratibu za kiuongozi kufikisha hoja zako.
Labda iwe hujui maana ya serikali na jinsi inavyofanya kazi kimfumo.
Halafu hiyo serikali imara imeshindwa kukupa elimu ya kujua neno 'anasa' linavyoandikwa? Hakuna neno 'hanasa'.
Mmeshindwa kujichangisha mkachimba visima?Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).