Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Hakika umetambulisha la maana sana, yaani siku hizi magonjwa ya kuambukizana yameshimiri!!Ya mtungi pengine yangekuwa salama, tatizo ni hicho kikombe na kifuniko cha hapo mtungini,
naona kama kuna kutu.
Si unajuwa Kiingereza na Kiswahili pamoja Mkuu Daudi Mchambuzisafe alafu kiusalama??
Si unajuwa Kiingereza na Kiswahili pamoja Mkuu Daudi Mchambuzi
Kiswahili ni lugha yangu siwezi kukisahau.likizo rudi nyumbani ukizoee kiswahili.
Ni salama kwa njia hiyo ya Picha ukiweka maji ya kunywa ni salama.Vipi kuhusu kuhifadhi maji kwenye hizi plastiki za jambo zenye filter ya udongo kwa ndani je ni salama kwa afyaView attachment 237993View attachment 237994
Nashukuru sana mkuuNi salama kwa njia hiyo ya Picha ukiweka maji ya kunywa ni salama.