Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Ni kweli ni moja ya vijiji vilivyosahaulika sana kielimu, maendeleo, pmja na miundombinu, lkn kwa chakula mkuu sisi njaa tunaisikia kwenye taarifa ya hbri,

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh polen wanasema hata viongoz hawafiki huko wala mawakala wa makampun..wala wafanyabiashara
Ila tatizo n kwa sababu ya kuaminika kwamba mgeni akija huko harudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh polen wanasema hata viongoz hawafiki huko wala mawakala wa makampun..wala wafanyabiashara
Ila tatizo n kwa sababu ya kuaminika kwamba mgeni akija huko harudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hpna izo za kwenda na kutokurudi ni Hekaya za Bunwasi na akina Esopo, mkuu uku tunalima pamba kwa wingi sana, wafanyabiashara lzma wajilete, za kuambiwa changanya na za kwako, njoo ukamate fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dasani..
Yana ladha ya udongo udongo hivi, ni kama nilipokuwa kijijini huko, ukinywa maji wakati umetafuna muhogo mbichi huku na maji mdomoni... Ladha inayopatikana kwenye mchanganyiko huo naipenda sana....

Yanfuatiwa na AZAM...
Haya bwana kemia umetisha sana
 
Zile ingredients Ni treatment..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio zinaleta radha sasa maana ni dissolved chemicals, Elewa mkuu maji ambayo hayana radha ni "pure water"

Kama maji ya kunywa brands zote yangekuwa pure water yangefanana radha na yote yangekuwa hayana radha na wewe usingechagua maji unayoyapenda mana yote yangekuwa sawa.
 
NDANDA SPRING yanatengenezwa wapi hayo.....ok nimekupa kuhusu Kilimanjaro...
Ndanda spring yanatengenezwa ktk kijij cha Mwena kilichopo Ndanda wilaya ya Masasi mkoa wa mtwara.
Ndipo hapo ilipoanzia timu ya NDANDA FC
 
Ndanda spring yanatengenezwa ktk kijij cha Mwena kilichopo Ndanda wilaya ya Masasi mkoa wa mtwara.
Ndipo hapo ilipoanzia timu ya NDANDA FC
Aisee Safi Sana nadhani wakianzisha kampeni ya kuchangia timu kwa kunywa maji ya NDANDA itakuwa ni Jambo jema.Kila chupa sh 50 iwe ya timu.
 
Back
Top Bottom