Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Mkuu uku kwetu chombo kikuu cha kuifadhia ni chungu kikubwa cha udongo kilichofinyangwa na wahunzi, ukiyanywa hayo maji ni kama vile yametoka frijini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udzungwa. Niliyapenda siku hio hio.. Kiasili maji hayana radha lakini haya matam Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya kunywa yana radha, uwe unaangalia ingredients wameonyesha hapo. Na ndio maana kila mtu atapenda maji yake kulingana na flavor anayoipenda, Maji ambayo hayana radha ni "distilled water"
 
Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.

Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....
Dasani..
Yana ladha ya udongo udongo hivi, ni kama nilipokuwa kijijini huko, ukinywa maji wakati umetafuna muhogo mbichi huku na maji mdomoni... Ladha inayopatikana kwenye mchanganyiko huo naipenda sana....

Yanfuatiwa na AZAM...
 
Back
Top Bottom