Elections 2010 Maji arusha yamekuwa kero kubwa.

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
Ndugu zangu maji ni siku ya NNE:angry: haya jatoka sijui shida iko wapi,lakini ukiletewa Bili inatisha ukingalia Bili unayoletewa na siku ambazo maji yametoka Tofauti ni kubwa sana,Tufanyeje USHAURI JAMANI
 
wewe siku nne tu umeanza kulia pole sana lakini, sisi huwa yanachukua hata wiki, wewe nunua tank la lita za kutosha hata wiki hapo itakuwa ngoma droo..
 
Ndugu zangu maji ni siku ya NNE:angry: haya jatoka sijui shida iko wapi,lakini ukiletewa Bili inatisha ukingalia Bili unayoletewa na siku ambazo maji yametoka Tofauti ni kubwa sana,Tufanyeje USHAURI JAMANI

Heshima kwako Mzee Serengeti,

Mkuu vipi tena maji siku nne unalia utadhani mtoto kanyimwa maziwa.Wenzako tumeshazoea kukaa bila maji kwa wiki mbili mpaka tatu yakitoka tunapump kwenye tank la lita 3000 mchezo unaendelea.Mwaka 2011 nimeamua kuchimba kisima ili kuepukana na usanii wa AUWSA ambao hawana mkakati wa kupambana na tatizo la maji zaidi ya kununua magari mapya kila mwaka na kutuvalia miyunifomu yao ya rangi ya blue mapauko.

Mamlaka ya maji Arusha inahitaji mabadiliko makubwa sana pengine kukaa sana kwa mkurugenzi wake mhandisi Munisi kunachagia kuliporomosha shirika kwa kiasi kikubwa.
 
Arusha mpaka mtakaporidhia uchaguzi wa Meya wa CHAMA CHA MAPINDUZI, ndipo mtapata maji ya uhakika kwa sasa AUWSA ipo likizo.
 
Nunueni matanki makubwa mimi Nina matanki ya lita 240 matano!

Heshima kwako Mageuzi 1992,

Mkuu si kila mtu anauwezo wa kununua tank ebu fikiri wewe ni mpangaji kwenye nyumba yenye vyumba kumi ina maana wapangaji wote kumi wanunue matank ?
 
Back
Top Bottom