sasa naomba nifunue huo ujanja ujanja uliotumiaSIJAFUPISHA WALA NINI
KAMA NIMEFUPISHA HAYO MAJIBU YA PADRE
LETA WEWE AMBAYO HAYAJAFUPISHWA
TUKATE MZIZI WA FITINA
KWANINI WEWE USILETE HIZO AYA AU UKWELI HALISI TUFANANISHE?kama hujafupisha izo doit (........) ni za kaz gani ?
we jifanye unakichaa
KWANINI WEWE USILETE HIZO AYA AU UKWELI HALISI TUFANANISHE?sasa naomba nifunue huo ujanja ujanja uliotumia
hapo kwenye icho kitabu (unataka kudanganya
watu sio )
ulichokifanya ndugu arooni ni hiki KWENYE IYO
SURA YA 74 UMENYOFOANYOFOA AYA NA
MISTARI NA KUIPANGA KAMA UNAVOTAKA WEWE
.
NA KIBAYA ZAIDI KUNA MAELEZO NA MANENO
ULIOYAACHA NDANI YA IZO AYA eti unawekea
dot (......) unaweka dot kwenye mambo ya msingi
kama hayo ( na umefanya ivo kwa lengo la
kuharibu maana iliyokusudiwa na mwandishi)
SASA KAMA UNAJIAMINI tuletee maelezo ya
humo ulipoweka dot(......) then unganisha na
hayo uliyoyaleta (yaani kwenye iyo sura ya 74
leta kila kitu kama kinavoonekana kwenye kitabu)
leta maelezo ulioyaacho kwenye izo dot(......)
na usipoleta naomba usirudi ndo uhamishie magoli kwenye KATEKISIMU
Kulialia hakutakusaidia kitusasa naomba nifunue huo ujanja ujanja uliotumia
hapo kwenye icho kitabu (unataka kudanganya
watu sio )
ulichokifanya ndugu arooni ni hiki KWENYE IYO
SURA YA 74 UMENYOFOANYOFOA AYA NA
MISTARI NA KUIPANGA KAMA UNAVOTAKA WEWE
.
NA KIBAYA ZAIDI KUNA MAELEZO NA MANENO
ULIOYAACHA NDANI YA IZO AYA eti unawekea
dot (......) unaweka dot kwenye mambo ya msingi
kama hayo ( na umefanya ivo kwa lengo la
kuharibu maana iliyokusudiwa na mwandishi)
SASA KAMA UNAJIAMINI tuletee maelezo ya
humo ulipoweka dot(......) then unganisha na
hayo uliyoyaleta (yaani kwenye iyo sura ya 74
leta kila kitu kama kinavoonekana kwenye kitabu)
leta maelezo ulioyaacho kwenye izo dot(......)
na usipoleta naomba usirudi ndo uhamishie magoli kwenye KATEKISIMU
Kama maelezo hayo ni ya uongo
LETA WEWE YA UKWELI HAPA , ILI AJULIKANE NANI MUONGO
unadai ufafanuzi wangu ?Kulialia hakutakusaidia kitu
Kwanini usilete full nukuu unazosema sijaziweka
MIMI NIMEWEKA FULL NUKUU,
HIZO DOT NATENGANISHA TU
SASA WEWE KAMA SIO MUONGO LETA HAYO MANENO NILIYOYAACHA ,
INAONESHA HATA HICHO KITABU HUKIJUI NA HUNA
Kulia lia hakutakusaidiaunadai ufafanuzi wangu ?
mi ndo nimekileta icho kitabu
kitabu ulete wewe ukikimbie wewe halafu maelezo uombe kwangu (unatumia nini kufikiri ndugu yangu)
kama hukuanacho kakitafute usome mwenyewe
na ndoo maana nakwambia we endelea kukopi na kupesti vitu usivovijua
KOPI NA PESTIKulialia hakutakusaidia kitu
Kwanini usilete full nukuu unazosema sijaziweka
MIMI NIMEWEKA FULL NUKUU,
HIZO DOT NATENGANISHA TU
SASA WEWE KAMA SIO MUONGO LETA HAYO MANENO NILIYOYAACHA ,
INAONESHA HATA HICHO KITABU HUKIJUI NA HUNA
UNALIALIA SANAunadai ufafanuzi wangu ?
mi ndo nimekileta icho kitabu
kitabu ulete wewe ukikimbie wewe halafu
maelezo uombe kwangu (unatumia nini
kufikiri ndugu yangu)
kama hukuanacho kakitafute usome
mwenyewe
na ndoo maana nakwambia we endelea
kukopi na kupesti vitu usivovijua
Ndio NAKOP NA KUPEST KUTOKA KWA HICHO KITABUKOPI NA PESTI
NDO URUDI TENA
kitabu kidogo kama ocho kimekushinda
ndo ukaiweze KATEKISIMU
hizo ni ndoto za alinacha
WEWE NI MAAMUMA TENA WALE WASIOJUA KITU MNAOPELEKWA KAMA MBUZI TUKOPI NA PESTI
NDO URUDI TENA
kitabu kidogo kama ocho kimekushinda
ndo ukaiweze KATEKISIMU
hizo ni ndoto za alinacha
jibu swali izo dot(.......) ulzoweka mwishoni mwa kila aya ni za nini ? kama kuna maelezo hukuchaKulia lia hakutakusaidia
MIMI NIMELETA QUOTATION
WEWE UNADAI NI ZA UONGO
SASA ILIKUTHIBITISHA NI ZA UONGO, SI ULETE HIZO ZA UKWELI?
hahaaaa ,wewe jamaa ushachoka akili, unadai nimeacha maneno, kama ni kweli leta hayo maneno niliyoyaacha
MIMI NASEMA SIJAACHA KITU,
endelea kulalama hapa ni bakora tu
Haaahaaa KAMA KUNA MAELEZO UNAYAJUA KWANINI USIYAWEKE KUTHIBITISHA MIMI NI MUONGO?jibu swali izo dot(.......) ulzoweka mwishoni mwa kila aya ni za nini ? kama kuna maelezo hukucha
kwanini huogope hayo maelezo kuyaweka ?
nadhani sasa unaona faida kukopi na kupesti vitu usivovijua
utakuwa huko sawa kichwani wewe SiO bure
Bila kujipanga hapa utakuwa unahenya,jibu swali izo dot(.......) ulzoweka mwishoni mwa kila aya ni za nini ? kama kuna maelezo hukucha
kwanini huogope hayo maelezo kuyaweka ?
nadhani sasa unaona faida kukopi na kupesti vitu usivovijua
utakuwa huko sawa kichwani wewe SiO bure
ndio form 4 sijafika haina shidaBila kujipanga hapa utakuwa unahenya,
KAMA KUNA MANENO NIMEACHA, INA MAANA UNAYAJUA
KWANINI USIYALETE HAYO MANENO?
wewe unaishi mbagala kimbangulile unataka kupingana na PADRE RAPHAEL?
saa ajabu hata form 4 hujafika, na inaonesha WEWE NDIO WALE KANISANI NI JUMAPILI YA X MASS PAGANISM HADI MWAKA MWINGINE
Hahaaa KWANINI USILETE HIZO NUKUU TUFANANISHE KAMA NIMEDANGANYA?ndio form 4 sijafika haina shida
we uliyefika mpaka phd UNATULETEA SURA NZIMA ya kitabu IKIWA NA mistari CHINI YA 10 pekee alafu unadai kila kitu kipo (hata mtoto wa darasa la kwanza atakucheka tu YAANI SURA NZIMA YA KITABU INAUNDWA NA MISTARI CHINI KUMI PEKEE)
we uliyefika mpaka PHD hujui hata maana ya dot (......) ambazo umeweka kwenye maelezo yako
halafu unadai eti umeandika kila kitu kama umeandika kila kitu maana ya izo dot(......) ni nini ? (au darasa la nne ulikuwa mtoro/doja darasani)
wewe PHD nakuomba maana ya izo dot(.....) ulizo weka hutaki kunipatia kama hujui maana ya dot(......) ulizoweka mwenyewe sema usaidiwe
Hata kama utaukataa ukweli huu kwangu mimi si ajabu kwani mtume Paulo alishabaini hilo alipomwandikia Timoteo katika waraka wa pili sura ya 4:3-4:
“utakuja wakati ambapo watu hawatasikiliza mabundisho ya kweli, ila watafuata tamaa zao wenyewe na kujikusanyia walimu tele watakaowaambia mambo yale tu ambayo masikio yao yako tayri kusikia. Watakataa kuusikia ukweli, watageukia hadithi za uongo.” (2Tim 4:3-4).
USITEGEMEE KUNIONA TENA KWENYE HUO UPUUZI WAKO
ENDELEA NA NGONJERA ZAKO MWENYEWE
OVER
Afadhali umeliona hilo mkuu...!ndio form 4 sijafika haina shida

Mbona unapayuka tuAfadhali umeliona hilo mkuu...!
Vp kuhusu ile 666 aliyoifananisha na Papa...?maana kilichotokea alibadilisha uelekeo sasa haijulikani alielewa somo ama vp......?
Na ndio tabia zao siku zote.
ahasante ndugu nashukurukweli nimeamini bado kuna watu wanahitaji kujitambua sana, unaambiwa leta hoja za kupinga hoja flani kwa ushahidi, unaleta bla bla , hata kama mleta hoja anaongea uwongo, but anajua jinsi ya kupingana kwa hoja zenye mashiko, tatizo wengine wanakuwa na ufia dini so akili inakuwa ndani ya box hawataki kuhoji, kisa wanamuogopa mungu atawapa adhabu kali?? this is so funny.
Please mleta mada tunaomba uendelee,,achana na wapuuzi wachache wasiojitambua.