acha ujinga na ujanjaujanja kijana (unatumia ujanja ujanja kutuaminisha UONGO)Mbona unapaniki, muendelezo wa najesuit ushakuja na nishapost halafu sipangiwi ,coz naandaa mwenyewe,
Kuhusu mauaji ya kuua watakatifu nishaelezea hilo kwa details ,kwa faida ya wengi nitaurejesha huo uzi ukiwa umeshiba
KUHUSU CONSTANTINE
MBONA HATA MAPADRI NA MAPAPA WAMEKIRI HILO?
WEWE NI MAAMUMA?
KATIKA KITABU CHA WAKATORIKI KIITWACHO
BUSTANI YA KATEKISTA
Ukurasa - 74
Swali: KWA NINI TUNASALI SIKU YA JUMAPILI SIO SABATO?
Jibu: Kihistoria tunaelewa kwamba wakristo wa kwanza waliendelea kuadhimisha siku ya Bwana Jumamosi, walivyozoea wayahudi; hasa wakristo waliotoka dini ya kiyahudi......
Wale ambao walikuwa wanatoka upagani, hawakujisikia kuwa wanabanwa na sheria zile.........
Sababu nyingine ya kusali Jumapili ni hii; wafuasi wa Yesu walitaka kujitofautisha na waamini wa dini ya kiyahudi walioadhimisha ibada siku ya Jumamosi......
Polepole wakristo wakaanza kuzoea kukutana, kusali, kusoma masomo yao na kumega mkate siku ya kwanza.....
Ndivyo, tarehe 03/03/321, mfalme Konstantino alivyotangaza rasmi kwamba Jumapili iwe SIKU YA BWANA, wakristo wapumzike na kusali. Hayo ndiyo mapokeo ya Makanisa mengi.....
BUSTANI YA KATEKISTA CHA PADRE RAPHAEL ROGEAU W.F.
PUBLISHING-benedictine publications ndanda-peramiho ukurasa wa 74
SASA WEWE NA PADRE RAPHAEL ROGEAU NANI NI MUONGO?
UNAANZA KUKANA MAPADRE WAKO WALIOKUINGIZA HUKO RC?
NINA NUKUU HADI ZA PADRE TITUS AMIGU
Vitabu hivi vipo maktaba au bookshop za RC vinauzwa
Kwahiyo unakataa kuhusu hicho kitabu ?jibu kwanza maswali unayoyakimbia hapo juu hapo juu kuhusu sabato ya kiyahudi na sabato yako nilokuuliza
then ukisha jibu ndo NIKUUMBUE KUHSU CONTANTINE NA ICHO KIJARIDA CHAKO HAPO JUU unachodai kipo kwenye library za wakatoliki
si tunajibu yako tena kwa kirefu na mapana
nimeishakuuliza maswali lukuki hujibu leta majibu kwanza
na kama umeshindwa omba usaidiwe
Nimenukuu kama kilivyoandikwa,kama ni uongo leta wewe cha ukweli hapaacha ujinga na ujanjaujanja kijana (unatumia ujanja ujanja kutuaminisha UONGO)
unaleta ujanja ujanja kwenye vitu vya msingi (kawadanganye kwenye makambi yenu huko ndo watakubali ujinga wako)
DA AISEE SIKUFIKIRI KAMA WEWE NI MUHUNI KIASI ICHO (yaani unalazimisha nyeupe iwe nyeusi)
sasa naomba nifunue huo ujanja ujanja uliotumia hapo kwenye icho kitabu (unataka kudanganya watu wasio nacho icho kitabu)
ulichokifanya ndugu arooni ni hiki KWENYE IYO SURA YA 74 UMENYOFOANYOFOA AYA NA MISTARI NA KUIPANGA KAMA UNAVOTAKA WEWE .
NA KIBAYA ZAIDI KUNA MAELEZO NA MANENO ULIOYAACHA NDANI YA IZO AYA eti unawekea dot (......) unaweka dot kwenye mambo ya msingi kama hayo (na umefanya ivo kwa lengo la kuharibu maana iliyokusudiwa na mwandishi)
NA NDIO MICHEZO NA UJANJA AMBAYO HUWA MNAFANYA KWENYE NENO LA MUNGU (unakosa heshima hata kwa neno la mungu ndugu yangu)
SASA KAMA UNAJIAMINI tuletee maelezo ya humo ulipoweka dot(......) then unganisha na hayo uliyoyaleta (yaani kwenye iyo sura ya 74 leta kila kitu kama kinavoonekana kwenye kitabu)
na hiyo inathibitisha NAMNA UNAVO SOMAGA BIBLIA (kwa kuchomoachomoa vitu unavotaka wewe kisha unaharibu maana ya mwandishi) pole sana
"kama unafanyia ujanja na uhuni vitabu vidogo kama ivo itakuwaje itakuwaje kwenye biblia ? (neno la Mungu)"

leta maelezo ulioyaacho kwenye izo dot(......)
na usipoleta naomba usirudi
SIJAFUPISHA WALA NINIacha ujinga na ujanjaujanja kijana (unatumia ujanja ujanja kutuaminisha UONGO)

Aisee kama mimi muongo leta data na sio porojo aisee ,mimi nimenukuu na vitabu vya majesuit na MANENO YA LINCOLINUelewa finyu wa mambo hupelekea mtu kufikia hitimisho la kimakosa sana kama alivyofanya mtoa mada....
Sijui kama mtoa mada anayaelewa maisha ya Lincoln kiualisia maana kama angeliyajua asingeandika thread ya namna hii kabisa...
Lakini siyo mbaya acha aendelee huenda akaja kupata uelewa siku moja akabadilika...
Huku ukiweweseka ngoja nikutandike na HII NUKUU YA KATEKISIMUacha ujinga na ujanjaujanja kijana (unatumia ujanja ujanja kutuaminisha UONGO)
unaleta ujanja ujanja kwenye vitu vya msingi (kawadanganye kwenye makambi yenu huko ndo watakubali ujinga wako)
DA AISEE SIKUFIKIRI KAMA WEWE NI MUHUNI KIASI ICHO (yaani unalazimisha nyeupe iwe nyeusi)
sasa naomba nifunue huo ujanja ujanja uliotumia hapo kwenye icho kitabu (unataka kudanganya watu wasio nacho icho kitabu)
ulichokifanya ndugu arooni ni hiki KWENYE IYO SURA YA 74 UMENYOFOANYOFOA AYA NA MISTARI NA KUIPANGA KAMA UNAVOTAKA WEWE .
NA KIBAYA ZAIDI KUNA MAELEZO NA MANENO ULIOYAACHA NDANI YA IZO AYA eti unawekea dot (......) unaweka dot kwenye mambo ya msingi kama hayo (na umefanya ivo kwa lengo la kuharibu maana iliyokusudiwa na mwandishi)
NA NDIO MICHEZO NA UJANJA AMBAYO HUWA MNAFANYA KWENYE NENO LA MUNGU (unakosa heshima hata kwa neno la mungu ndugu yangu)
SASA KAMA UNAJIAMINI tuletee maelezo ya humo ulipoweka dot(......) then unganisha na hayo uliyoyaleta (yaani kwenye iyo sura ya 74 leta kila kitu kama kinavoonekana kwenye kitabu)
na hiyo inathibitisha NAMNA UNAVO SOMAGA BIBLIA (kwa kuchomoachomoa vitu unavotaka wewe kisha unaharibu maana ya mwandishi) pole sana
"kama unafanyia ujanja na uhuni vitabu vidogo kama ivo itakuwaje itakuwaje kwenye biblia ? (neno la Mungu)"
SASA KAMA UNAJIAMINI tuletee maelezo ya humo ulipoweka dot(......) then unganisha na hayo uliyoyaleta (yaani kwenye iyo sura ya 74 leta kila kitu kama kinavoonekana kwenye kitabu)
leta maelezo ulioyaacho kwenye izo dot(......)
na usipoleta naomba usirudi
Huwa nakuona sana ukijitia kila kitu unajua , kumbe mtupuUelewa finyu wa mambo hupelekea mtu kufikia hitimisho la kimakosa sana kama alivyofanya mtoa mada....
Sijui kama mtoa mada anayaelewa maisha ya Lincoln kiualisia maana kama angeliyajua asingeandika thread ya namna hii kabisa...
Lakini siyo mbaya acha aendelee huenda akaja kupata uelewa siku moja akabadilika...
Unaelewa maana ya "kuwa na uelewa finyu" na "kuwa muongo"?Aisee kama mimi muongo leta data na sio porojo aisee ,mimi nimenukuu na vitabu vya majesuit na MANENO YA LINCOLIN
SASA WEWE , UNASEMA SIYAJUI MAISHA YA LINCOLN WEWE ULIISHI NAE?
PINGA KWA HOJA
Sawa sawa mkuu....Huwa nakuona sana ukijitia kila kitu unajua , kumbe mtupu
Kama hujui bas leo jua Abraham lincoln aliuliwa na majesuit
Hata BARUA KUTOKA KWA DAVIS KWENDA KWA PAPA MPAKA LEO IPO
pitia hapa
Assassination of President Lincoln
Jenga acha kubwabwaja ,uzuri nakujua sana ktk mijadala yakoUnaelewa maana ya "kuwa na uelewa finyu" na "kuwa muongo"?
Kunukuu alichosema Lincoln hakuwezi kuhalalisha hitimisho lako,unaweza kumnukuu mtu kasema sokoni ni kil 20 kutoka poit A halafu wewe ukamnukuu halafu ukasema amesema ni mile 200....
Utakuwa umemnukuu lakini hakuna uhusiano wa ulischosema na nukuu ya mhusika....
Kuweza kuelewa maisha ya mtu siyo mpaka uishi naye,unaonesha una matatizo sana ya namna ya kuelewa mambo na nakushauri endelea kujisomea utaelewa mengi....
kama hujafupisha izo doit (........) ni za kaz gani ?SIJAFUPISHA WALA NINI
KAMA NIMEFUPISHA HAYO MAJIBU YA PADRE
LETA WEWE AMBAYO HAYAJAFUPISHWA
TUKATE MZIZI WA FITINA
ahsante kwa kuliona hiloUelewa finyu wa mambo hupelekea mtu kufikia hitimisho la kimakosa sana kama alivyofanya mtoa mada....
Sijui kama mtoa mada anayaelewa maisha ya Lincoln kiualisia maana kama angeliyajua asingeandika thread ya namna hii kabisa...
Lakini siyo mbaya acha aendelee huenda akaja kupata uelewa siku moja akabadilika...
na le upotoshaji we kihuni uliotaka kwenye kile KITABU CHA BUSTANI YA KATEKISTA umeishanilete maelezo nilio kuomba ?Huku ukiweweseka ngoja nikutandike na HII NUKUU YA KATEKISIMU
KAMA NADANGANYA NUKUU HAPA PIA AMRI ZILIVYOANDIKWA KWENYE KATEKISIMU
Swali: Siku ya Sabato ni ipi?
Jibu : Jumamosi ndiyo siku ya Sabato.
Swali : Kwa nini tunaabudu jumapili badala ya jumamosi ?
Jibu : Kwa sababu kanisa la katholiki lilihamisha utukufu kutoka
jumamosi kwenda jumapili.
The Convert’s Catechism of Catholic Doctrine by P. Gieremean 1977 pg 50
Kama maelezo hayo ni ya uongona le upotoshaji we kihuni uliotaka kwenye kile KITABU CHA BUSTANI YA KATEKISTA umeishanilete maelezo nilio kuomba ?
au umekiri uhuni wako uliotaka kuufanya maana naonà umehqmishia magoli kwenye KATEKISIMU
we endelea kukopi vitu usivovijua
leta maelezo niliokuomba kwenye kile kitabu ulichodai ndo uhamie kwenye katekisimu
Jiwe gizaniKichwa cha mtoa mada kimejaa mavi