mhhh the issue hapa ni kuwa aliyekuwa kimbele mbele na hii vita hana tena war chest kwa ajili ya 2015 Gadafi hali mbaya na potential candidates washajua kama jamaa ni threat sasa na yeye anamwaga vitu vyake
Just like in the GAME OF THRONES kila mmoja anaangalia maslahi...and you know what the dude is a hustler!
Mimi namshauri apide dili na akina ma Mulla wa Tehran atapata...japo channel ya kule ni ya Rostam yaani imekuwa kama vile mbwa kala mbwa