Hao Uhamiaji hipohipo tu, kazi ni ulafi wa utajiri baaasii. Mwaka 2007 kama sikosei niliwahi kufika hapo makao makuu yao hapo wizarani, nilikwenda kulipoti waamiaji haramu wa kirundi na RWANDA ambayo walikuwa wamekodi nyumba mtaani kwetu. Kilicho nikuta sitokisahau!!!!!. Ilikuwa kama vile mimi ninakimbelembele, wakati nilikuwa na full ushaudi jinsi walivyo kuwa wakiishi maisha ya hofu, na kutembeleana na wenzao usiku kwa usiku kutoka tusiko kujua. Hakuna walicho niambia zaidi ya kiniambia haya tumesikia, Duuuh!!!, nilichoka kwakweli !!. Hakuna kilicho fanyika mpaka leo, sasa hivi wameoana oana na kiswahili wanajua vizuri na wamejenga nyumba zao kwa taarifa nilizo zipata. Kiukweli uhamiaji ni jeshi la wauza nchi. Nuksi kabisaaaa.