4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,208
- 8,310
kisas gan wakat yeye ndo yupo kweny nchi ya mwenzieInaweza kumfanya Russia kufanya carpet bombing Kama kisasi Maana Raia hawapo[emoji848]
kisas gan wakat yeye ndo yupo kweny nchi ya mwenzieInaweza kumfanya Russia kufanya carpet bombing Kama kisasi Maana Raia hawapo[emoji848]
jamaa kawaambiq ukwel , Urusi ime waharib akili vijana wasio na ajira , wakihisi tiba ni Urusi kushinda vita wkt wanaamkia jf wanalalia jf , wao ugumu 2a maisha unawafanya washabikie hata ugaidi wa PutinKwani mkuu,
Na wewe kwenye huu Uzi umefata Nini aisee?
Jf Si Ina nyuzi nyingi TU?
Kwani ulishindwa kupita kimya kimya?
Kwani Wee jukwaa la uchumi ukuliona?
au huku Ndo kuwashwa washwa kwenyewe alikosemaga raisi mkapa?[emoji848]
kwahiyo tv na solar wap na wapWewe huna TV nyumbani kwako nini
Hata mji wa Lyman ulipokombolewa na majeshi ya Ukraine mlisema hivi hivi kuwa ni 'tactical withdrawal' lakini mpaka leo hawajawahi thubutu kurudi tenaHabar mbaya saa kwa sisi pro Russia[emoji22]
Japo hatuwez kuhitimisha kwamba Russia kweli kakimbia kichapo Cha counter offensive uko kherson,
Kumbe ikawa Ni mbinu ya kivita kueneza Hizi propaganda kumhadaa adui ili ajae vizur kwenye 18 zake.
Inahusiana nini na mada hii au ndiyo habari imekukera ukakosa cha kuandika ukaamua uwe mwalimu wa lugha ya Malkia?Moja ya abiria aliekufa kwenye ajali ya ndege Bukoba ni hiki kizungu
Jiji la Kherson limekombolewa ndiyo habari kuu,hayo ya giza mbona hata sisi tupo gizani na wala hatuna hata sababu ya kuwa gizani kama Ukraine.Naangalia cnn hapa naona kyv yote giza
Ninayo tv, king'amuzi cha dish, subwoofer na laptop....Wewe huna TV nyumbani kwako nini
tatics ya vita, Ukraine ilikuwa inaharibu njia kuu za logistics huku yeye Mrusi akiharibu madaraja na vyanzo vya umeme mijini.Akiongea na waandishi wa habari,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi amesema Kuwa imekuwa vigumu zaidi kupeleka mahitaji Muhimu kwa wanajeshi walioko katika mji huo baada ya njia mhimu hasa madaraja kuharibiwa na Makombora ya HIMARS kutoka Ukraine.
Basi mshindi ni yule target zake zimetimia ambae ni Ukraine,kaharibu njia za logistics mpaka wamejikuta hawana namna zaidi ya kukimbia.tatics ya vita, Ukraine ilikuwa inaharibu njia kuu za logistics huku yeye Mrusi akiharibu madaraja na vyanzo vya umeme mijini.
Warusi wa kibugumo waje sasa mbuzi wale .Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeviamlu vikosi vyake kuukimbia mji wa KHERSON kabla mji huo haujazingirwa na majeshi ya Ukraine.
Akiongea na waandishi wa habari,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi amesema Kuwa imekuwa vigumu zaidi kupeleka mahitaji Muhimu kwa wanajeshi walioko katika mji huo baada ya njia mhimu hasa madaraja kuharibiwa na Makombora ya HIMARS kutoka Ukraine.
Russian forces to retreat from the west bank of the Dnieper river in the face of Ukrainian attacks. Russia orders troops to pull back from Kherson city
Sasa hivi dogo zele anawapiga zile Ndonga zinaitwa mwana ukome ,Hata mji wa Lyman ulipokombolewa na majeshi ya Ukraine mlisema hivi hivi kuwa ni 'tactical withdrawal' lakini mpaka leo hawajawahi thubutu kurudi tena
mkuuduh mshahamia kweny tuishen ya kingereza ?
Trap hiyo ndio maana hata majeshi ya Ukraine yameogopa kuingiaWarusi wa mchambawima , mko wapi mbw@ nyieeeeee
Crimea anatoka , mpuuz yule ,Himars zinaendelea sogea karibu...
Kwa kutumia recon ya Us na nato Urusi lazima ataomba abakie na crimea pekee
Hahahaha battle of hostomel,special forces za Warusi kina spetsnaz walichinjwa kama kukukufanya fake retreats wanaoweza hii mbinu ni jeshi la Ukraine tu. ukiliona jeshi la ukraine limerudi nyuma jua wameweka mtego wa mauti. nilifatilia vita tangu jeshi la ukraine lilivyo kimbia pale uwanja wa ndege wa nje kidogo na kyiv
jeshi la russia lilipo kuja wakafanya upimzani wa uongo na kweli dhen wakakimbia wale askar wa miamvuli waka sema yess. vita si ndo hivi.
lakini ghafla bin vuu wakashangaa wamezungukwa na majaveline kila upande.
ni mariupol peke ake ndo mambo yalie da ndivo sivyo. na waligoma kuretreat had dk za Mwisho kabisaaa.
hakuna msafara unaoweza kukatisha popote ndani ya ukraine tang vita vmeanza ukafika salama. yan wenye wanajijua wakisha jiona tayar wapo zaid ya watano wanatembea pamoja wanasema apa kazi tunayo