Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

I THINK THIS IS STUPIDITY UKO BONGO SIO DIPLOMATIC UNAJIFANYA UNAFIATILIA VITA YA UKRAINE NA RUSSIAN HUO NI UPUMBAVU NA MAWAZO MGANDO DIPLOMATIC TUNAWAJUA WENGI ILA KUZA UCHUMI WAKO KWANZA ACHA UJINGA NA OBSESSION SIJUI KOREA KASKAZINI,SIJUI RUSSIA ,SIJUI MAREKANI BLAH BLAH NNYINGI
 
Kwani mkuu,
Na wewe kwenye huu Uzi umefata Nini aisee?

Jf Si Ina nyuzi nyingi TU?
Kwani ulishindwa kupita kimya kimya?

Kwani Wee jukwaa la uchumi ukuliona?

au huku Ndo kuwashwa washwa kwenyewe alikosemaga raisi mkapa?[emoji848]
 
Inaweza kumfanya Russia kufanya carpet bombing Kama kisasi Maana Raia hawapo[emoji848]
Mnajazana Ujinga tu. Aliyekwambia kwamba raia wote wameondoka kutoka kwenye mji wa KHERSON Ni Nani? Walioondoka Ni vibaraka wa Urusi make wanajua kabisa majeshi ya Ukraine yakishauteka mji ule,Collaborators wote wanapigwa risasi kwasababu Ni wahaini.

Wakati Urusi inatangaza eti Evacuation imeondoa raia 70,000 elfu ukweli ni kwamba wale vibaraka wa Urusi ndio waliotimua mbio kuogopa kifo mara baada ya majeshi ya Ukraine kutia timu.

Kiongozi Mkuu wa Jimbo Hilo la KHERSON aliyepachikwa na Urusi mara baada ya Jimbo Hilo kutekwa na Warusi ameuawa katika mlipuko wa Gari uliotokea. Wenzake waliondoka mapema lakini yeye akakaza fuvu na Sasa amekwenda na maji.
 
Gavana wa Kherson aliyewekwa na Urusi, Kirill Stremousov, ameuawa, vyombo vya habari vya serikali ya Urusi vinasema.

Bw Stremousov, 45, aliteuliwa katika kazi yake miezi miwili baada ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Alikuwa mmoja wa wafuasi mashuhuri wa uvamizi wa Urusi na alijulikana kwa kauli za fujo kwenye mitandao ya kijamii.

Alikuwa anatafutwa kwa uhaini na polisi wa Ukraine. Maafisa wengi walioteuliwa na Urusi katika eneo la Ukraine inayokaliwa kwa mabavu wamekuwa wakilengwa katika mashambulizi.

Kherson, kituo pekee cha kikanda cha Ukraine kilichotekwa na wanajeshi wa Urusi baada ya uvamizi wa Februari, kimekuwa kikilengwa na shambulio la Kiukreni.

Katika siku za hivi majuzi, Bw Stremousov amekuwa akiwataka raia kuondoka kwenye ukingo wa mashariki wa mto Dnipro kutokana na kipigo kikali kutoka Ukraine, huku kukiwa na kila dalili kwamba huenda vikosi vya Urusi vinafurushwa.
 
Kherson ambako kunapatikana majiji makubwa ya KHERSON, BERYSLAV na SNIHURIVKA ikumbukwe mkoa huu umegawanywa na MTO DNIPER katika pande mbili za kushoto (Mashariki) na Kulia (Magharibi)
Upande ambao Urusi amesalimu Amri Una vijiji si chini ya 70 ambavyo vyote vitakuwa chini ya UKRAINE, na maamuzi haya yamekuja sababu hakulindiki tena kwa Ukraine kukata njia zote za kuleta mahitaji muhimu upande wa kulia kutoka kushoto na pia Ukraine imevunja ukuta wa jiji la SNIHURIVKA na kuhatarisha siku chache zijazo wanajeshi wa Urusi kuzingirwa upande mzima wa Kherson.
Maamuzi ni sahihi kwa Urusi ingawa inauma Sana kupoteza jiji la Kherson,

September 30: Kherson joins Russia "forever"

November 9: Kherson leaves russia [emoji635]
 
Inaweza kumfanya Russia kufanya carpet bombing Kama kisasi Maana Raia hawapo[emoji848]
Tukiacha ground offensive,sehemu nyingine Ukraine wapo vizuri ni military intelligence,Toka wazingirwe Mariupol kwenye Azov steel plant, haijawahi tokea tena Ukraine kuzingirwa namna ile,this means Ukraine military intelligence wame improve sana, ofcause pia kwa kusaidiwa na satellites za US/NATO kwa kutoa signal intelligence.
It has been very hard to set Ukraine Army into a trap tena easy like this.
 
Trap kutokea kwa sasa ni ngumu mno.
Ila pale Mariupol wameuawa wanajeshi wengi wa Ukraine. Pale Urusi hakuonesha huruma
 
Tukiacha ground offensive,sehemu nyingine Ukraine wapo vizuri ni military intelligence,Toka wazingirwe Mariupol kwenye Azov steel plant, haijawahi tokea tena Ukraine kuzingirwa namna ile,this means Ukraine military intelligence wame improve sana, ofcause pia kwa kusaidiwa na satellites za US/NATO kwa kutoa signal intelligence.
It has been very hard to set Ukraine Army into a trap tena easy like this.

kufanya fake retreats wanaoweza hii mbinu ni jeshi la Ukraine tu. ukiliona jeshi la ukraine limerudi nyuma jua wameweka mtego wa mauti. nilifatilia vita tangu jeshi la ukraine lilivyo kimbia pale uwanja wa ndege wa nje kidogo na kyiv

jeshi la russia lilipo kuja wakafanya upimzani wa uongo na kweli dhen wakakimbia wale askar wa miamvuli waka sema yess. vita si ndo hivi.

lakini ghafla bin vuu wakashangaa wamezungukwa na majaveline kila upande.

ni mariupol peke ake ndo mambo yalie da ndivo sivyo. na waligoma kuretreat had dk za Mwisho kabisaaa.

hakuna msafara unaoweza kukatisha popote ndani ya ukraine tang vita vmeanza ukafika salama. yan wenye wanajijua wakisha jiona tayar wapo zaid ya watano wanatembea pamoja wanasema apa kazi tunayo
 
Putin anapigwa mbele na nyuma
Screenshot_20221110-103345_Facebook.jpg
 
Hapana. Jimbo la KHERSON limegawanywa katikati na mto DNIPRO RIVER Kati ya West DNIPRO River na East Dnipro River. Mji mkuu wa Jimbo la KHERSON Ni KHERSON City. Majeshi ya Urusi yamefurushwa Magharibi mwa mji wa KHERSON na kuelekea Mashariki mwa mji wa KHERSON.

Kwahiyo baada ya kulikomboa Jimbo la Magharibi la KHERSON,basi Majeshi ya Ukraine Yana Kazi kubwa na kuvuka Mto DNIPRO na kwenda kulikomboa Mashariki mwa Jimbo la KHERSON. Wakifanikiwa zoezi Hilo basi CRIMEA itakuwa Pua na mdomo na majeshi ya Ukraine.
Mkuu mito mingi sana Jeshi la ukraine lishavuka HIMARS ni silaha hatari sana kwa maisha ya warusi,
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeviamlu vikosi vyake kuukimbia mji wa KHERSON kabla mji huo haujazingirwa na majeshi ya Ukraine.

Akiongea na waandishi wa habari,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi amesema Kuwa imekuwa vigumu zaidi kupeleka mahitaji Muhimu kwa wanajeshi walioko katika mji huo baada ya njia mhimu hasa madaraja kuharibiwa na Makombora ya HIMARS kutoka Ukraine.

Russian forces to retreat from the west bank of the Dnieper river in the face of Ukrainian attacks. Russia orders troops to pull back from Kherson city
Kwanini tena waukimbie huu mji na Putini alitwambia baada ya kura ataulinda kwa nuclear??? mbona putini anatuumiza matumbo mashabiki wake? nuclear iko wapi?
 
Hapana. Jimbo la KHERSON limegawanywa katikati na mto DNIPRO RIVER Kati ya West DNIPRO River na East Dnipro River. Mji mkuu wa Jimbo la KHERSON Ni KHERSON City. Majeshi ya Urusi yamefurushwa Magharibi mwa mji wa KHERSON na kuelekea Mashariki mwa mji wa KHERSON.

Kwahiyo baada ya kulikomboa Jimbo la Magharibi la KHERSON,basi Majeshi ya Ukraine Yana Kazi kubwa na kuvuka Mto DNIPRO na kwenda kulikomboa Mashariki mwa Jimbo la KHERSON. Wakifanikiwa zoezi Hilo basi CRIMEA itakuwa Pua na mdomo na majeshi ya Ukraine.
Mkuu nadhan hujapata hisia yoyote kuhusu silaha inayoitwa HIMARS, ni silaha mbaya sana kwa adui unaweza kuvuka mito hata laki moja ukiwa na huu mzigo wa HIMARS

Ukraine wanatumia mathematics ile vita, kwanza ungejiuliza ni kwanini katika yale majimbo 4 walianza na Kherson? utajua maana ya hiyo calculations na sasa mafanikio unajionea mwenyewe jamaa wana withdraw jeshi na nakuhakikishia watasiginwa mpaka wataitema na Crimea.
 
Taifa teule anashindwa wapi kuwasaidia ma lgbt[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wakati mvaa kobazi irani mnalalamika anamsaidia hadi urusi ......mwako mwalimu kashashaView attachment 2411855
sasa israel hatoi msaada mbona bado Urusi inarudishwa nyuma , waswahili watu wa ajab sana poor reasoning , rudi ulingon uzungumzie kinachotokea Kherson
 
Na siwajeda tu wanaoondoshwa, walishaanza kuondoshwa raia.
Ndio tuseme Jeshi la Ukreni litabaki lenyewe pale Kherson!?, hiyo ni hatari sana.
kwa akili yako fupi unahisi raia wanaozungumziwa ni raia gan kama sio wale wanazungumza kirus , hapo kabla ya vita lilikuwa eneo kama unavyoliona Kagera wilaya ya Misenyi yaan watz wapo ila wapo watz wanajiita waganda wa kyaka ila ni watz sasa IDD awaamishe hao waganda kyaka na sio kuhamisha raia wote bali wale raia wanafungamana na wao tu
 
"The war with Moscow started at crimea and shall ended at crimea" Mrengwa wa kulia

Nadhani ni bora zaidi watu mkatumia lugha yenu mama kuliko kujimwambafai kutumia lugha ambazo hamzimudu, mnatupa wakati mgumu sana kuwaelewa mlichokusudia kutupatia.
jaman jikiten kwenye mada hili sio forum ya lugha , km mmekosea njia nawakumbusha tu , kama umeelewa alichoandika mengine sio sehem sahihi hii
 
Back
Top Bottom