Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Ila Precision ya HIMARS ni hatari,mwezi uliopita Urusi walificha boti zao chini ya Daraja la Antonovsky,huko Kherson ili kuzikinga na Makombora ya HIMARS lakini cha ajabu zile boti zilifikiwa na kulipuliwa...mpaka Leo bado najiuliza zile roketi za Himars zilipenya penyaje mpk kuzifakamia boti za Supapawa zilizofichwa chini kabisa ya Daraja!!!!!![emoji848]