Majeruhi wa ndege ya Brazil waonekana

kidaganda

JF-Expert Member
Aug 26, 2013
2,995
2,571
dc616ac334db92bd72e16ce0802f3a9d.jpg
 
Duh hao kweli majeruhi, na sijui km watafika kituoni kutoa maelezo ya kina maana namuona Rubani hapo kati anavyoisoma map ya North America ili ajiachie
naona ana kisanduku cha habari za ndege kabisa
 
Naona hii ndege gear-lever
Ni za mbao na steering kama ya jadi. Lazima ingedondoka tu
 
Nimefurahi kuona majeruhi wakiwa wazima wenye afya tele.
Hapo wakatundikiwe drip ya maji ya baraka waachiwe waendelee na safari yao.
 
Back
Top Bottom