Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,193
Mambo?
Ni matumaini yangu sote tumeuanza mwaka vizuri. Wagonjwa tunawaombea mpone haraka kabla hatujaimaliza January, inshallah.
Mapenzi matamu lakini machungu, asilimia kubwa tumewahi kuwatenda ama kutendwa na wenzi wetu. Wengine tumekuwa wabishi hata tukitendwa tunapenda tena.

Tunalia tunanyamaza lakini tunarudia yaleyale. Hapa naomba tusaidiane kwa waliokata tamaa ya kupenda, wanaoona mapenzi machungu na kuhisi mapenzi hayapo kwa ajili yao tena. Je tukitendwa ndio iwe mwisho wa kupenda? ni sahihi kukata tamaa mara baada ya kutendwa mara moja au mbili?
kuna namna yoyote ya kuzuia tusitendwe?

Tufanyeje jamani? kadri siku zinavyoenda mapenzi yanazidi kuwa machungu, hadi nakihurumia kizazi kijjacho. Nahisi kizazi kijacho kitaishia kupenda midoli na wanyama na si binadamu wenzao tena.
 
My mim binafsi naona sie tunatizo la tukiwa na mtu tunahamishia akili, upendo wote, hisia nk. hii ndio inatumaliza.

Binafsi na amin binti ukijikubali na ukaiambia nafsi yako "nimechoka, nasimama mwenyewe nifanya mambo yangu hadi wakati ukifika nitapata mtu sahih" Amin usiamin. kwanza roho yako itasuuzika, then utajikuta unajiamin na hakika watatokea wanaume lukuki itakuwa kazi yako kuchagua nani ni sahihi kwako,

wanawake wengi tukitendwa kidogo tunalia miaka 2, unakonda bila sababu kisa nin? wanaume walivyo wengi ivi kha! kitu cha msingi nikujiamin na kuamin wew ni mwanamke kweli, ambapo hata asipokuwa yeye kuna mwingine atakuona, hahahaaaaa! nicheke mie.

mambo ya kulia kanitenda!, kanitenda! ndio tunawapa misifa hawa viumbe wasio bebeka, Hakuna kulia mtu akikutenda leo, hakikisha kesho anakuona tofauti na alivyokuacha, kwa maana akuone unapendeza na unafuraha iliyopitiliza hy peke yake ni revenge hawez kumtenda mwingine.

lakin pia akikutenda aliepita haimaamishi anayekuja nae anakutenda kama unadhani ni mtu sahih mwonyeshe mapenzi kwel, mfanye awe na aman na uhuru wa kwel, ili asije akajikuta anakuacha kwasababu ulimfanya kuwa muhanga wa mahusiano yako yaliyopita, jambo la msingi ni kuwa na tahadhari na vibazaz ambavyo vikijua bint umetendwa ndio vinakuja mbio kawa wanaume kwel kujifanya kukufariji kumbe ujinga mtupu.

ngoja niishie hapo kwanza.
 
Yakija poa yasipokuja poa.....

yaaa sasa mtu anakua oriented as if bila mapenzi hawezi kuishi
mimi haya mambo matatu nayazingatia kwakweli na nitazidi kugombana na watu walioko na jtazamo yofauti

1.chakula
2.malazi
2.mavazi
KAMA HAYA NAPATA BASIII

amini usiamini kuwa single au kuyokua na mpenzi unaeza ukawa na amani kuliko ukiwa ane hii mara nyingi ipo
japo ni nature tu lazima ufanye sifa za kiumbe hai walau zote ikiwemo kuzaliana basi yakubidi uwe na jinsia nyingine
but blv me wat wengi wako stressful kwa ajili ya kuyapa mapenzi kipao mbele
 
mi naliaga kama nilimpa papuchi lakini kama sikumpa
HATA AANDIKE GAZETI NAMUONA ---- tu
kwani shingapi.......

sililiii mtu hata sekunde labda tu NIMEMPA PAPUCHI
 
yaaa sasa mtu anakua oriented as if bila mapenzi hawezi kuishi
mimi haya mambo matatu nayazingatia kwakweli na nitazidi kugombana na watu walioko na jtazamo yofauti

1.chakula
2.malazi
2.mavazi
KAMA HAYA NAPATA BASIII

amini usiamini kuwa single au kuyokua na mpenzi unaeza ukawa na amani kuliko ukiwa ane hii mara nyingi ipo
japo ni nature tu lazima ufanye sifa za kiumbe hai walau zote ikiwemo kuzaliana basi yakubidi uwe na jinsia nyingine
but blv me wat wengi wako stressful kwa ajili ya kuyapa mapenzi kipao mbele

Aiseeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom