Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,899
Reaction score
95,235
Habari Wana JF,


Majengo ya Wema yaliyopo barabara ya bagamoyo yapo mbioni kubomolewa kupisha ujenzi wa bomba la maji al-mmarufu mradi wa m-canada,bomba ilo linatoka ruvu chini linapelaka maji mji mpywa wa bush.

WEMA BUILDING:TEGETA KWA NDEVU


WEMA BUILDING:BOKO BASIHAYA

Nawasilisha
 
mkuu ungeweka picha ya mijengo hiyo mambo yangekuwa poa
 
Sawa mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo kuna wema Actress na Wema Sembe??? (au ni the same shit) Naomba ufafanuzi jamani hapa.. charminglady rudi tafadhali

Mihadarati..a.k.a dawa za kulevya. Nadhani wema ni jina tu la hizo nyumba, angekuwa yule wa bongo muvi ingekuwa ndio stori kila siku kwenye magazeti ya shigongo almaarufu udaku
 
Last edited by a moderator:
maswali ya msingi hayajibiwi,au ni hoja nyepesi ambayo majibu yake ni mepesi,watu wanauliza ni majengo ya wema sepetu?
 
Mkuu King Kong III mbona umekimbia hautaki kujibu maswali ya wadau? Hayo majengo ni ya wema yupi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…