Majengo ya kihistoria Tanzania

Majengo ya kihistoria Tanzania

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
Cathedral.JPG

Kila zama zina mazuri ya kujivunia, ujenzi wa jengo hili katu siku za leo unatushinda, na kama tukilazimisha si kutumia udongo kama walivyofanya hapa, siku za leo itabidi fundi chuma na seremala kuhitimisha kwa vyuma na mbao.
 
Hapana, hiyo ni Azania Front.

oo mama! almost there, yote si makanisa ya posta hayo? hebu niweke sawa, azania front ni lile pale azikiwe au sokoine drive?
 
Cathedral.JPG

Kila zama zina mazuri ya kujivunia, ujenzi wa jengo hili katu siku za leo unatushinda, na kama tukilazimisha si kutumia udongo kama walivyofanya hapa, siku za leo itabidi fundi chuma na seremala kuhitimisha kwa vyuma na mbao.

Hii ni St Joseph Cathedral Dar mkabala na ila shule zamani ilikuwa inaitwa Forodhani
 
Back
Top Bottom