Majembe Auction Mart washapewa UBUNGO

mhhhh

sasa hawa ni maspecialist wa udalali

sijui wamequalify lini kufanya shughuli hizi za ubungo
 
mhhhh

sasa hawa ni maspecialist wa udalali

sijui wamequalify lini kufanya shughuli hizi za ubungo

kuna watu CV zao zimetumika, na watakuwa wanavuta mshiko tu....thats bongo bana.....na hutawaona hata siku moja wakihusika closely
 
Jana tu walikamata magari 100 daladala kwa kosa la kutovaa uniforms madeva na kodactors, faini sh. 100,000 mpaka 150,000/= umeipata hiyoooo? Wenye malori na mabasi hapatoshi.
 
swali tangazo la hii tenda lilitolewa lini na SUMATRA na je mbona hatujaambiwa kama sheria za PPRA zilifuatwa na mchakato uliofanywa uliwapitisha akina nani mpaka akapatikana huyu Majembe?


surely kwa issue controversial kama UBUNGO BUS stop ilitakiwa SUMATRA waonyeshe due to public interest Business plan yao nzima na malengo gani wanayo katika kufanya kile kituo kiwe user friendly


au tunakosea kuuliza?

Halafu kwa nini PINDA hataki tuone first (original ) version ya ripoti ya CAG kuhusu UBUNGO?


Matatizo mengi yaliyopo nchini yanatokana na serikali kujivua majukumu ya kuendesha/kusimamia baadhi ya shughuli na kuziacha mikononi mwa watu binafsi kwa kisingizio kuwa serikali inapaswa ibaki tu ikikusanya kodi.
Kujivua huku ndiko kunakosababisha mianya mingi ya ruswa na ufisadi kwa ujumla kwani kichakato yote inayofanyika ili kumpata mtu anatakaye simamia hizo shughuli, ni lazima wanaoiendesha wawe % yao au watajipendelea ili wachukue hiyo tenda.
Sidhani kwamba serikali inashindwa kusimamia na kuendesha mashirika au vitegauchumi vilivyopo, kwani kuna wafanyakazi/wataalamu wengi tu wanaolipwa na serikali tena mishahara mikubwa tu lakini hawana kazi wanazo zifanya zaidi ya kuliingiza taifa kwenye mikataba mibovu inayoligarimu taifa pesa nyingi kuirekebisha au kuifuta.
 
Jana tu walikamata magari 100 daladala kwa kosa la kutovaa uniforms madeva na kodactors, faini sh. 100,000 mpaka 150,000/= umeipata hiyoooo? Wenye malori na mabasi hapatoshi.

Hivi hawana kiwango cha faini? Ninavyo fahamu, kwa makosa mengi ya barabarani, fain ni 20,000/= kwa kila kosa, sasa hiyo faini sh. 100,000 mpaka 150,000/= ni ya kotovaa sare au ni pamoja na makosa mengine?
 
Hivi hawana kiwango cha faini? Ninavyo fahamu, kwa makosa mengi ya barabarani, fain ni 20,000/= kwa kila kosa, sasa hiyo faini sh. 100,000 mpaka 150,000/= ni ya kotovaa sare au ni pamoja na makosa mengine?

Kotopewa viwango vya faini ndio tatizo kubwa. Kinachofuata ni kero kubwa sana kama yale ya packing system, gari yako ikipack vibaya tu inafungwa mnyororo unaambiwa utoe 60,000 na ikivutwa mpaka kwenye yadi yao wanakupiga laki na nusu.

After all hizo faini wanapeleka SUMATRA au wanatia mfukoni na kuwamegea kiasi kidogo tu serikali??

Unapoweka faini kubwa unajenga mazingira ya rushwa sababu ni rahisi kumpa mkamataji 20,000 bila risiti kuliko kutoa 100,000.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom