Majasusi Watoa Maamuzi Ovyoo! -Uzalendo Hamna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majasusi Watoa Maamuzi Ovyoo! -Uzalendo Hamna

Discussion in 'International Forum' started by Mpekupeku, Jan 19, 2012.

 1. M

  Mpekupeku New Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania imevamiwa na mataifa ya Magharibi, umoja wa ulaya, mashariki ya mbali kwa vigezo vya uwekezaji, utawala bora na diplomasia ya kijeshi huku usalama wa taifa na jeshi vikipiga makofi kwa kushindwa kushauri na kudhibiti uvamizi huu kisera. kwa nini mnawatandikia Red Carpert hadi maofisini kwenu mkiwashangilia. ati washauri wa kiufundi. Thubutu!!!! Watanzania huko maofisini vipi nyinyi????
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sijakuelewa
   
 3. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Matunda ya sekondari za kata
   
Loading...