Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
sasa si bora sisi tumepigwa huku tukipigania rasilimali ya taifa
kuliko nyinyi mnapigwa eti kwa maslahi ya lema,kama sio u.fa.la tuite nini??
mnakua kama chanuo..,kazi zake ni mbili tuh kuchana nywelee na kusuka nywelee..
lini mtaanza kujitambua??
matusi yako hayabadilishi kuwa godless lema ni janga kwa taifa hili.Watu wameumia wewe unakejeli.
Yaani jamani watu wengine hata shukurani hamna.Unachuki ya bure na Lema mbona wewe mwanaume mzima wakati unaolewa alikuchangia hasira naye za nini.Au ndoa ya jinsia moja imeanza kukutesa.
Nikikumbuka jinsi katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kilewo alivyommwagia tindikali musa tesha kule igunga, naona hawezi kushindwa kutekeleza hili tukio la arusha, jinsi lwakatare alivyokamatwa na ile video yake akipanga ugaidi hawezi kushindwa kutekeleza hili la arusha. Wanaweza kushirikiana hawa
Arusha mmekuwa
watumwa na wafungwa wa uhuru na amani lakini haitwafanya muwe wafungwa
au watumwa wa fikra na mabadiliko. Napendekeza waziri wa ulinzi ajiuzulu
kwa kushindwa kuzima matukio ya arusha kwa mfululizo. wanatuua kwa vitu
vyenye ncha kali huku na wao wakifa kwa mafuriko, ajali na maradhi
msiogope hakuna atakaeishi milele
Tuko pamoja na nyie Watanzania wa Arusha
Nimepata taarifa
jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park
, taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana
lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu
aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama
hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa
Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea
Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama
Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona
na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu
huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya
ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
Satan ay work,Shindwa shetani ww, asa yeye Lema anaongoza Ars yenye matukio yanayoratibiwa na wendawazimu wenzako, je huyo anayeongoza nchi ambayo Ars yenye matukio ni sehemu yake tumsemeje.
ur a qualified and experienced satan' kabla hajawa mbunge, ars ulikuwa mji wa neema. Tangu amekuwa mbunge umekuwa mji wa majanga! Ana nuksi, na wewe ni nuksi mwenzake. Wakati alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo, ars ikatangazwa kuwa jiji. Mini Kabang nyie!
ur a qualified and experienced satan' kabla hajawa mbunge, ars ulikuwa mji wa neema. Tangu amekuwa mbunge umekuwa mji wa majanga! Ana nuksi, na wewe ni nuksi mwenzake. Wakati alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo, ars ikatangazwa kuwa jiji. Mini Kabang nyie!
Wewe mpuu.zi saana!.. Ulitaka aseme nini?
Wewe mpuu.zi saana!.. Ulitaka aseme nini?
Call spade a spade hakuna matusi hapo.Ulitaka nikwambieje kwani uwezo wako ndo ulipofikia wa kukejeli waliovuja damu.Nimewauliza nyie wapangaji wa ujinga ndani ya bongo zenu Ars ni nchi?Kama siyo jee mtawala wa nchi hii tumsemeje kwa majanga yanayotokea ktk nchi anayotawala!Je hayo mauaji ya Musoma ni Lema yupo pale!matusi yako hayabadilishi kuwa godless lema ni janga kwa taifa hili.
Hizi zote unazoonesha hapa its among tendencies of a ga.y so who to blame, bcause you are the one who entertain such situation.Zinduka kubali matokeo ili uwe huru kwa Mungu uweze kutembelea hata nchi ya Uganda.ur a qualified and experienced satan' kabla hajawa mbunge, ars ulikuwa mji wa neema. Tangu amekuwa mbunge umekuwa mji wa majanga! Ana nuksi, na wewe ni nuksi mwenzake. Wakati alipovuliwa ubunge, neema zilirudi kidogo, ars ikatangazwa kuwa jiji. Mini Kabang nyie!
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.
Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?
Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.
Lema ni hasara kwa taifa
Kwa akili hizi za Nyumbu wewe ni laana ktk nchi...Gundu ingekuwa natural calamities na accidents...ila haya mambomu sio accidents ni mipango ya watu waoga,maharamia na mashetani..tumia akili ili nisikufaninishe na Mbwa wangu.Mbwa wangu wenyewe wana akili kuliko wewe..hata njiani wakiona watu wananizongazonga, huanza wanusanusa kwanza kusoma dalili za adrealine..lakini bado hukaa aler..wakisukuma tuu mbwa wanao...hapo ni njia..fikiria nyumani..Halfu jiulize wewe unafanya nini kwa watu wanaofanya haya mambo baada ya kushindwa ktk kura,sheria na hata ushawishi.Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo
Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe
Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu
Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,
Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death
Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...