kwanza: sio mwoshi ni moshi
pili :Lema sio mbunge wa moshi
tatu:Tukio limetokea arusha na sio moshi
nne :Haupo serous thus why unakurupuka na kujibu pumba na pumba yenyewe unakosea spelling
Hivi nyie maccm ni lini mtakuwa na jambo serious?? Hata mahali ambapo damu za watu zimemwagika ma wengine kupoteza viungo badi mnaongea ujinga??? Hapa kuna uhusiano gani na Kalenga?? Ndoo dharau mnazozionyesha kwa Watanzania kwa miaka 53 sasa. Utakuja kuelewa siku ikikipata wewe au mmoja wa familia yako. Stay tunedNdiyo mbinu ya kuingilia Mjini baada ya kipigo cha kalenga hizi damu zitawalilia
Mtwara nako anaongoza Lema, mbona mpaka masheikh wetu wanapigwa wakiwa misikitini? Acha chuki binafsi , mbona damu ya Ponda imemwangwa Moro huko ni kwa Lema?
Ingekua kusoma ni kuelimika basi wasomi wasingefanya viroja kipindi hiki cha kuunda katiba. Tunaona wasomi kadhaa wakishindwa hata kutetea maslahi ya nchi zaidi hujifanya vipofu kabisaaaa.Kusoma siyo kuelimika!!!Hujawaona ma profesa hata kutawala nyumba kumewashinda?USIWE MTUMWA WA FIKRA
Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
Lema wewe ni laana kwa mji wa Arusha. Umeusababishia majanga ule mji uliokuwa mzuri na hata ukaitwa Geniva of Africa. Huna maana yoyote unapojifanya kuwafariji wanaArusha wakati wewe ndiye muasisi wa siasa chafu za damu. Ula....aniwe Lema.
Mipango ya LEMA na wasaidizi wake,wamepoteza mvuto sasa wanataka huruma kwa wananchi
Nina mashaka na we maana tangu ushindwa vibaya kalenga umekuwa ukitafuta namna ya kuja Mjini umeshindwa
Ukajitaidi kutumia mbinu ya kuja kupitia kusema unaacha bunge LA katiba BADO ukabuma
Sasa umepata mbinu mpya yakuja Mjini karibu ila IPO siku utadaiwa haya yote
Nakupongeza kwa kuacha 300,000 na kwenda kuwajulia hali watu wako.
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.
Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?
Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Wewe mpuu.zi saana!.. Ulitaka aseme nini?We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.
Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?
Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.
Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
huna chochote cha maana cha kusema zaidi ya matusi acha upuuzi. lema ndo mbunge mpuuzi kuwahi kutokea arusha pengine na tanzania kwa ujumla. sio lazima wana arusha mchague chama kingine kama bado mnaipend hiyo chadema-saccos kutoka tengeru basi chagueni watu wenye akili kama akina lisu, mnyika na mdee.Wewe mwehu msukule mj.inga nakwambia natamani nikuambie kilicho moyoni mwangu lakini naiheshimu jukwaa langu tu!