Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,578
- 12,444
Mkuu dar maduka hayafungwi mapema shuka tu chini hapo unless umejiandaa kula nyama 2 nyamaHilo ni jambo la muhimu mkuu ingawa hapa nilipo sina,kama atatokea ni bora aje nazo kama hana ni bora asije.
huu usemi hauna ukweli mkuuSiku zote kumbuka neno moja kadiri unavyokula vya watu na vyako huliwa vile vile...
ha ha ha ha yeye ni muadilifu
Sina hakika kama atakuja....kama ningekuwa na uhakika ningeagiza,au kama atakuja kwa sababu yeye ni mwenyeji itabidi aokoe jahazi.Mkuu dar maduka hayafungwi mapema shuka tu chini hapo unless umejiandaa kula nyama 2 nyama
ha ha ha haLazma ajifanye muadilifu ili usigundue, kwani atakwambia kama anagongwa...?
All the best usiwaangushe mabaharia wenzio siunajua mechi za awaySina hakika kama atakuja....kama ningekuwa na uhakika ningeagiza,au kama atakuja kwa sababu yeye ni mwenyeji itabidi aokoe jahazi.
Mbaya zaidi sina kinga,naomba tu asije kama akija angalau aje na kinga;majuto ni mjukuuUsisahau kinga mkuu
ha ha ha ha kama atakuja nitatoa mrejesho......ukiona kimya jua hajatokea
Sio hivyo mkuu,Me ni rahisi kushawishika kuliko ke;kwa mfano akija sawa,asipokuja hakuna shida.
ha ha ha ha yeye ni muadilifu
Ila wanawake wakifanya maovu mnalalamika kwa kuwa wao ni malaika
Wanaume hampaswi kulinda ndoa zenu si eti?Linda ndoa yako
Kutatua hii kero inabidi kila mmoja atembee na begi lakeWanaume hampaswi kulinda ndoa zenu si eti?
Kutatua hii kero inabidi kila mmoja atembee na begi lake
Uwe na mwenzako inapobidiKivipi??
ha ha ha macho hayana paziaMkuu ukumbuke tu hapo ni hotelini na wanapita wengi na wanamuona wengi na hasa kwa uzuri wake uliosema, tahadhari sana wadada wanaofanya kazi hotel ama magesti. "Mwanaume wa kweli hatembei na wahudumu wa hoteli" TRAVELLER LAW NO. 325
🤣🤣🤣Mnapaswa mtuvumilie🏃🏃🏃Ila wanawake wakifanya maovu mnalalamika kwa kuwa wao ni malaika