interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Lipia kodi ya kuchangamsha genge kwa hy hii chai yako yenye tangawizi kali sana.
Wanaume hampaswi kulinda ndoa zenu si eti?
Uwe na mwenzako inapobidi
Eti enh??Mnapaswa mtuvumilie
![]()
Tunalinda automatic
Hapo ndipo shida inapoanzaKama mazingira hayaruhusu je?
Acheni kujiendekezaHapo ndipo shida inapoanza
Mkuu si unajua kuna maisha na kuna kuishi pia?Acheni kujiendekeza
Tamka neno mkuuAisee
Mkuu si unajua kuna maisha na kuna kuishi pia?
Ipo siku utatamani maisha yajirudie na mbaya zaidi hayajirudiiKwahiyo?
Ipo siku utatamani maisha yajirudie na mbaya zaidi hayajirudii
ha ha ha mumeo atapata shida kweli...Kwahiyo kugegeda hovyo ndiyo maisha hayo?
Hivi kwa nini haswaa unapenda kuichimba na maswali yako jinsia yangu kuna vitu vingine sio vya kuuliza vipo toka enzi za mababu Kwanzaa ni mwiko kuulizaKwahiyo?