Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,129
- 62,142
ha ha ha sawa mkuuKula maisha akija mpe vitatu vya kampani
Acha tusherehekee uumbaji wa MunguNa uliyemuacha watu wanampa kampani nae, wakati wewe unasubiri arudi huko wenzako tayari wameshafumua marinda fumuuuuu...!
Sio hivyo mkuu,Me ni rahisi kushawishika kuliko ke;kwa mfano akija sawa,asipokuja hakuna shida.Ila wanawake wakifanya maovu mnalalamika kwa kuwa wao ni malaika
Acha tusherehekee uumbaji wa Mungu
Mtoto mzuri mkuu...nilimpa sera za chama akawa anajikuna kichwa tu,kama atakuja yeye itakuwa powa zaidimara paaaap, ni mwanaume mwenzio. hapo ndo kutafutana na tochi chumbani.
ha ha ha ha yeye ni muadilifuNa wenzako wanasherehekea uumbaji uliouacha nyumbani.
Ni kweli mkuu kila kazi ina maadili yake;kutokuja kwake kwa asilimia kubwa itakuwa faida kwanguKm anajielewa hatakuja ndo kashakukwepa kisomi,akija kukukampan tupe mrejesho mkuu
Hilo ni jambo la muhimu mkuu ingawa hapa nilipo sina,kama atatokea ni bora aje nazo kama hana ni bora asije.Usisahau mpira mkuu
Ni kweli mkuuSuala la kuchepuka huwa ni trial and error kiukweli, kwa sababu huna cha kupoteza
ha ha ha ha hawajagundua badoUnafanya wake zetu kutia mashaka kila tupatapo visafari vya kazi nje ya mkoa kwa,kwani umecholesha ramani hivi kiboya