Majaribio ya tiba ya Virusi Vya UKIMWI (VVU)

Unavyowaona Kuna Kiongozi gani aliye mzalendo kati ya waliopo?

Kiongozi mzalendo ni yule ambaye hayupo tayari kuona gharama za maisha zinakuwa juu wakati uwezo wa kupunguza inflation upo

Ni yule Kiongozi ambaye, yupo tayari kubana Matumizi ili fedha nyingi ielekee kwenye miradi na kuleta matokeo chanya

Ni yule ambaye hayupo tayari kuona Wananchi wake wanatekwa na kuuawa huku yeye akibaki kimya

Ni yule ambaye, maslahi ya Wananchi wake ni kipaumbele chake badala ya kuwaza namna gani ya kujineemesha yeye binafsi na familia yake
Sawa mkuu.

Pamoja na mawazo hayo ningeshauri pia utafute habari za magonjwa yote yanayosababishwa na virusi uone matibabu yake yanakuwaje.

Bila shaka unajua kuwa hadi leo hakuna dawa inayoua virusi vya mafua. Watafiti hawajafanikiwa kuigundua. wametuletea tu dawa zinazotoa nafuu. Hata Virusi vya mafua havina dawa ya kuviangamiza huwa vinapotea vyenyewe. Havizaliani sana na huku kwetu havina ubavu wa kuua mtu. Lakini ulaya vinaua wazungu wasipotumia dawa za kujilinda (kama arv za mafua). Kinga yao ya asili ni ndogo.

Ulisikia pia habari ya mafua ya ndege (H1N1). Virusi hatari sana vinavyoua lakini havizaliani kwa fujo na hupotea haraka. Dawa kuu ni kuepuka maambukizi.

Kwa kifupi, hadi leo haijawa rahisi kugundua dawa ya kuua virusi ambayo haiui pia chembe za uhai (body cells) za mwili wa binadamu. Sana sana wameweza kugundua chanjo na dawa za kufubaza kuzaliana kwa virusi. Kuna virusi vingi tu haviui na vinaisha vyenyewe.

Virusi sio kama bacteria ambao ni cell kamili. Inaweza kuangamizwa peke yake. magojwa kama gono, cholera, n.k. ni bacteria. Dawa zake rahisi kutengeneza. Virusi vikikuingia vinaenda kujumuika na nucleus ya cell za mwili wako na kubadilisha taratibu za ukuaji wa mwili. Vinabomoa cells. Dawa ya uhakika ya kuangamiza virusi ni ile pia inayoua mwili wako. Ndipo mtihani mkubwa ulipo. Kazi kubwa sana imefanyika kuvigundua tu.

Hata hivyo usipate tabu. Endelea kuamini unachoamini.
 
Kujibia hilo, jaribu kutafuta takwimu HIV inaua wagonjwa wangapi Kwa Mwezi/Mwaka

Kisha angalia pia takwimu kuhusu hayo magonjwa mengine ya Gono/mafua upate idadi ya wanaokufa Kwa Mwezi/Mwaka

Ukiachana na HIV ambayo kitaalamu imetengenezwa kupungua idadi ya watu Duniani, pia Kuna ugonjwa mwingine wa Cancer ambao pia umetengenezwa Maabara kwaajili ya kucontrol idadi ya watu pia
 
Back
Top Bottom