Majaribio ya tiba ya Virusi Vya UKIMWI (VVU)

Majaribio ya tiba ya Virusi Vya UKIMWI (VVU)

Yaani na kizazi hiki hakiogopia kabisa. Kizazi chetu kipindi cha Kina Johari na Kanumba watu wanarukaruka na kuhara kusikia wameathirika lakini hawa vijana wamechill tu coz wanajua dawa zipo🤣🤣🤣🤣mweee
Ni huzuni kwakwelišŸ’”
 
Mkuu ma wew unaamini hizo conspirancy theories
Nina ziamini

Ukitaka kuona ukweli wa hizo conspiracies theories, gundua dawa ya Kutibu Ukimwi ama Cancer uone kama hautauawa.

Nina jamaa angu mmoja, yeye anadeal na mambo ya tiba asili.

Anasema wameambiwa kabisa na Serikali, hata kama wamefanikiwa kupata dawa za kuweza kumponya mgonjwa wa Ukimwi, hawatakiwi kuisema

Kwani itakuwa ni kuwaharibia Wazungu biashara zao za ARVs
 
Jaribio la kimatibabu la HIV lililofanyika barani Afrika limeonesha kuwa baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa muda mrefu baada ya kupokea matibabu ya mchanganyiko, jambo linaloashiria hatua kubwa kuelekea tiba ya UKIMWI.

Jaribio hilo, lililopewa jina la FRESH, lilifanyika Durban, Afrika Kusini, na limebaini kuwa wanawake wanne kati ya 20 waliopata maambukizi ya HIV kwa mara ya kwanza wameweza kuacha kutumia ARVs kwa takriban miezi 18 huku wakidumisha kiwango cha virusi kisichogundulika na idadi ya kawaida ya seli za kinga za CD4.

"Tunaendelea kuwafuatilia kwa karibu, lakini angalau inadhihirika kuwa kwa baadhi ya watu, hata kama ni wachache, tiba hii imeonekana kufanya kazi," alisema Profesa Thumbi Ndung'u, Mkurugenzi wa Sub-Saharan African Network for TB/HIV Research Excellence na mmoja wa watafiti wakuu wa jaribio hili.

Mwanasayansi huyo kutoka Kenya ni miongoni mwa watafiti wa jaribio hili. Aliwasilisha matokeo ya utafiti huo katika Mkutano wa 2025 wa Retroviruses and Opportunistic Infections uliofanyika San Francisco, Marekani, wiki iliyopita.

Utafiti huu ulitumia mbinu ya kinga ya mchanganyiko. Kwanza, watafiti waliwapatia washiriki dawa za ARVs kwa angalau mwaka mmoja ili kupunguza virusi na kuhifadhi kazi ya kinga ya mwili. Kisha waliwapatia tiba ya kingamwili yenye broadly neutralising antibodies, ambazo huzuia HIV kushambulia seli, pamoja na toll-like receptor 7 agonist, ambayo huimarisha mwitikio wa seli za kinga dhidi ya virusi.

Baada ya kusitisha matibabu, washiriki waligawanywa katika makundi matatu:
  1. Wale ambao virusi vilirudi haraka (ndani ya wiki 16).
  2. Wale waliodhibiti virusi kwa kati ya wiki 16-44 kabla ya kurejea kwenye ARVs.
  3. Wale walioweza kudhibiti virusi kwa muda wote wa wiki 48 bila dawa yoyote.

Tiba Kamili​

Katika mahojiano ya Zoom na nation.africa, Profesa Thumbi alieleza kuwa ingawa tafiti nyingine za tiba ya HIV zimefanyika nje ya Afrika – na baadhi zikihusisha tiba kamili au kuondoa kabisa HIV – tafiti hizo zimetegemea taratibu ngumu za kitabibu kama kupandikiza uboho wa mifupa, jambo ambalo si rahisi kutekelezwa katika mfumo wa afya ya umma.

Chanzo: The Citizen
Hao ndio wasomi, wako busy kuja na major solution. Wasomi wetu wana conduct such a life changing project kama hizi?
 
Mie muafrica ila katika watu wanaotakiwa kuingia motoni wa kwanza na kuni ziwe nyingi ni waafrica.
Roho zao nyeusi kama ngozi zao.
Wazubgu wote peponi
Kwani hayo maradhi yana asili ya Africa ama Ulaya?

Hizo ni biashara za makampuni ya Wazungu kuuza dawa baada ya kutengeneza magonjwa.

Wakati sisi tunaimba mitano tena, wenzetu wapo Maabara kugundua madawa na magonjwa ya kuhakikisha tunakufa tusiponunua dawa zao
 
Ujumbe mzuri sana Mjukuu, lakini mbona hapo kifuani Kwa huyo binti pamekuwa flat namna hiyo

kweli Vijana wa hovyo, wanajua kuyalaza aisee šŸ˜œšŸ™Œ
😁😁
Sina hakika kama mie nafaa kuwa na umri wa kuwa mjukuu wako, inawezekana nikawa mwanao.

Hayo ni maumbile tu mzee wangu, inawezakana mtoa nasaha ni mfuasi wa Dr. Janabi ama ni aina tu ya mbegu.
 
😁😁
Sina hakika kama mie nafaa kuwa na umri wa kuwa mjukuu wako, inawezekana nikawa mwanao.

Hayo ni maumbile tu mzee wangu, inawezakana mtoa nasaha ni mfuasi wa Dr. Janabi ama ni aina tu ya mbegu.
Inawezekana ni maumbile kama ulivyosema, binti akiwa mwembamba sana hupelekea hiyo hali

Japo kuna wengine wanakuwa na miili ya wastani, kutokana na Vijana wa hovyo kunyonya sana vifua vyao wamefanya viwe flat 😜

Umri wangu wa miaka 79 unadhani hustahili kuwa Mjukuu wangu kweli? šŸ¤—
 
Hahaha!

Mimi ni mwanao.
Kwa kumwangalia tu nafikiri ni mambo ya Dr. Janabi, aidha kwa kupenda ama kutokupenda.
 
Hahaha!

Mimi ni mwanao.
Kwa kumwangalia tu nafikiri ni mambo ya Dr. Janabi, aidha kwa kupenda ama kutokupenda.
Ku- maintain comes with it's consequences

Unlucky her, atapata shida sana kuendana na Vijana wapenda kunyonya😜

Kwa umri ule ulioniambia, kweli ni somehow rika la my last born wangu šŸ¤—
 
Sijui kama watabaki salama
Biashara za watu hizo wanaenda kuziua hawatakubali hilo lifanikishwe
 
Nina ziamini

Ukitaka kuona ukweli wa hizo conspiracies theories, gundua dawa ya Kutibu Ukimwi ama Cancer uone kama hautauawa.

Nina jamaa angu mmoja, yeye anadeal na mambo ya tiba asili.

Anasema wameambiwa kabisa na Serikali, hata kama wamefanikiwa kupata dawa za kuweza kumponya mgonjwa wa Ukimwi, hawatakiwi kuisema

Kwani itakuwa ni kuwaharibia Wazungu biashara zao za ARVs
Yaani serikali yetu inawasaidia ā€œwazunguā€ kulinda biashara zao za ARVs.
 
Ku- maintain comes with it's consequences

Unlucky her, atapata shida sana kuendana na Vijana wapenda kunyonya😜

Kwa umri ule ulioniambia, kweli ni somehow rika la my last born wangu šŸ¤—

Possibly naweza kuwa sawa na last born wako, kuhusu umri mbona sijawahi kuusema popote hapa Jf mzee wangu?
 
Yaani serikali yetu inawasaidia ā€œwazunguā€ kulinda biashara zao za ARVs.
Unavyowaona Kuna Kiongozi gani aliye mzalendo kati ya waliopo?

Kiongozi mzalendo ni yule ambaye hayupo tayari kuona gharama za maisha zinakuwa juu wakati uwezo wa kupunguza inflation upo

Ni yule Kiongozi ambaye, yupo tayari kubana Matumizi ili fedha nyingi ielekee kwenye miradi na kuleta matokeo chanya

Ni yule ambaye hayupo tayari kuona Wananchi wake wanatekwa na kuuawa huku yeye akibaki kimya

Ni yule ambaye, maslahi ya Wananchi wake ni kipaumbele chake badala ya kuwaza namna gani ya kujineemesha yeye binafsi na familia yake
 
Back
Top Bottom