Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,394
- 28,801
Hizo nguvu aliziacha nani🤔Waacheni shirika letu lenye nguvu za giza na mwanga
Hizo nguvu aliziacha nani🤔Waacheni shirika letu lenye nguvu za giza na mwanga
Huna akili, ilikuwaje mabwawa yaliyopo yalishindwa kuendelea na uzalishaji kutokana na kupungua kina cha maji....msoga grroup iyo hamtosheki mlishidwa wakati wenu mwachieni naye atimize maono yake., gesi tunayo mika zaidi ya 15 mliingiza mega wati ngapi, na umeme wa mgao, Nchi hii itakuwa ya mwisho kupata misukosuko ya tabia nchi tunazo baraka za pekee kutoka kwa mwenyezi Mungu
Nyie ndo vibaraka wa mabeberu
hivi mnapewaga nini in return kwa hujuma zenu kwa nchi?!Mabeberu ndo wameleta mabadilio ya tabia nchi, siyo? maana hata mama kahudhuria huko dubai kikao cha kujadili maswala ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, au na yeye ni kibaraka wa mabeberu.......hata kama una akili kisoda jitahidi walau kung'amua mambo madogo madogo.