Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Mkuu hiyo siyo ajabu maana mtu ukikiri kosa mahakamani adhabu inatolewa hapo hapo sema tu hii imepata media coverage kubwaNadhani hii kesi inaweza kua ndio kesi iliyoendeshwa haraka sana na hukumu kutolewa katika historia ya mahakama nchini Tanganyika..