Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,756
- 40,920
NA MWANDISHI WETU
Kuna kila dalili sasa majangili wa tembo na mtandao wao wanamjaribu Raid Dkt. John Magufuli kwa kuhamishia nguvu Bungeni mjini Dodoma kwa lengo la kuwatikisa mawaziri wa serikali yake, KULIKONI imeelezwa.
Mkakati huo unahusisha baadhi ya wabunge ambao wana maslahi na mtandao huo, watatu wakiwa wanatoka kanda ya ziwa na ambao wamewahi kuguswa na tuhuma za ujangili. Habari kutoka Dodoma zinasema kuwa wabunge hao wamemuita Diwani mmoja ambaye wamekuwa wakishirikiana naye katika kuvuruga kila juhudi ya kukabiliana na ujangili wa tembo na wanyama wengine.
Wabunge hao wanaelezwa kujificha katika kivuli cha kuwatetea wafugaji na wananchi wakitumia mbinu ambazo wenyewe wanadai zilitumiwa kuzima ukamataji wa majangili na waharibifu wa mazingira uliokokuwa ukijulikana kama Operesheni Tokomeza