Majangaa ya chura kuto kuruka juu

Majangaa ya chura kuto kuruka juu

Mwenyewe yupo very proud na umbo lake na pia kuna Men wengine ndio maradhi yao hayo
Daah! Wanaume huwa mnayajua wenyewe maradhi yenu. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hivyo mtu akiwa anamiliki zigo ka hilo ndio raha kwake. πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwenyewe yupo very proud na umbo lake na pia kuna Men wengine ndio maradhi yao hayo
Vp we pia hayo maradhi unayo au ndio ulishapona?. πŸ˜…

πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Kwa huyo Ses hata hana wepesi na ndio maana usimamaji wake umekuwa wa tabu.

Na kweli usemalo Ses japo mi wajua tena nilivyo mkavu hivyo nikinenepa sitafika huko hivyo bado ntajiweza tu. πŸ˜…πŸ˜…
Najua pia hupendi madikodiko kama chips, kuku, sijui burger au vyakula vya mafuta, na kwenye vinywaji wewe yako juice tu soda huna mzuka nazo na pombe ndio hata harufu yake inakukeraπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Lakini si unajua Shadeeya wengine wana miili ya kurithi?
 
Najua pia hupendi madikodiko kama chips, kuku, sijui burger au vyakula vya mafuta, na kwenye vinywaji wewe yako juice tu soda huna mzuka nazo na pombe ndio hata harufu yake inakukeraπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Umeona eee.

Lakini si unajua Shadeeya wengine wana miili ya kurithi?
Yah! Hao ndio kazi wanayo mana wakifumuka huwa wanafumuka hasa na saa nyingine inakuwa kuanzia juu mpaka chini hivyo hilo ji hipusi na jichu ra hata halijulikani liko wapo. πŸ˜…πŸ˜…
 
Umeona eee.

Yah! Hao ndio kazi wanayo mana wakifumuka huwa wanafumuka hasa na saa nyingine inakuwa kuanzia juu mpaka chini hivyo hilo ji hipusi na jichu ra hata halijulikani liko wapo. πŸ˜…πŸ˜…
Ni khatwar kabisa, tumbo limeshikana na jichura, lakini wakifanya mazoezi miili yao inajishepu vizuri tu hata kama wamerithi unene
 
Masikini dada wawatu...kweli hujafa hujaumbika
 
Kila mtu anachaguo lake eeh? Kinachokukera na kukuumiza wewe kumbe ndio fahari na furaha ya wengine

Kweli dunia uwanja wa fujo Shadeeya
Kabisaaaaa. Kila mwenye ngoma yake na acheze.

Na ndio sababu hata kwa huyu dada hapo , wapo Me wengine wanatamani ndio angekuwa Mke amuweke ndani yaani kila time ashike hilo hipusi na jichu ra. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom