Majangaa ya chura kuto kuruka juu

Majangaa ya chura kuto kuruka juu

Hilo umbo lisiwatishe kabs izo nyama kwenye game hao wepesi tu mbona ila watu wanakua wanaweka mawazo ya kushindwa ndo mana ila 6 & 6 huyo unagusa hadi maini kabs bandama kongosho
 
Kabisaaaaa. Kila mwenye ngoma yake na acheze.

Na ndio sababu hata kwa huyu dada , hapo wapo Me wengine wanatamani ndio angekuwa Mke amuweke ndani yaani kila time ashike hilo hipusi na jichu ra. 😅😅😅😅
Na Me wapenzi wa chura wanakwambia kazi ya chura ni kuibonyezabonyeza, kuipiga vikofi na kuilalia kama mto

Wapinzani wa chura wanasema huo ni mzigo kama mizigo mingine yenye kuchosha tu wala haina faida yoyote

Basi nikisikia ubishi huo mi hua natabasamu tu na kikombe changu cha kahawa
 
Hahahaaa. Kwema kabisa Mtani.
Nimekuita uone zile mnazoziita neema sijui. 😀😀😀
Aisee sasa hizo ni neema au balaa. 😀
Mimi napenda vitu simpo Mtani, yani vitu vya wastani siku nikiwapelekea wazazi waseme yees mwanangu umechagua.
Ila samahani Shadeeya isije ikawa nakandia kumbe ni wewe hapo kwenye picha 😜😜
Ndukiiiii
 
Na Me wapenzi wa chura wanakwambia kazi ya chura ni kuibonyezabonyeza, kuipiga vikofi na kuilalia kama mto
Kuumbeeee. 😳

Wapinzani wa chura wanasema huo ni mzigo kama mizigo mingine yenye kuchosha tu wala haina faida yoyote
Hawa utawasalimia hawa. 😀😀😀😀

Basi nikisikia ubishi huo mi hua natabasamu tu na kikombe changu cha kahawa
Hahahaaaa. Kama nakuona vile.
 
Aisee sasa hizo ni neema au balaa. 😀
Mimi napenda vitu simpo Mtani, yani vitu vya wastani siku nikiwapelekea wazazi waseme yees mwanangu umechagua.
Ila samahani Shadeeya isije ikawa nakandia kumbe ni wewe hapo kwenye picha 😜😜
Ndukiiiii
Bora Mtani sababu kila mmoja na apendacho.

Duuh! Mtani mi nina mwili wa kawaida tu. Na kama huko siwezi fika abadan asilan.
 
Kuumbeeee. 😳

Hawa utawasalimia hawa. 😀😀😀😀

Hahahaaaa. Kama nakuona vile.
Salamu kwa wapinga chura zitafika bilashaka

Ndio nataka nielekee kwenye baraza la kahawa, wewe usije kwanza Shadeeya Ke hawatakiwi hapo

Nitakuja kukusimlia yatokanayo ila mimi sintachangia chochote. Lakini si unajua upande ninao usapoti eeh?
 
Hahahaaaa. Haya kila la kheri.

Nitakuja kukusimlia yatokanayo ila mimi sintachangia chochote. Lakini si unajua upande ninao usapoti eeh?

Naujua, naujua mie tena naujua. 💃💃💃💃
 
Bora Mtani sababu kila mmoja na apendacho.
Duuh! Mtani mi nina mwili wa kawaida tu. Na kama huko siwezi fika abadan asilan.
Kweli aisee bora ubaki na mwili wako wa kawaida tu pengine siku tunaweza kukutana ukaniteka moyo Shadeeya 😃
Ila kwa kweli mimi bado sijaona uzuri wala urembo wa mwanamke dizaini ya kwenye picha hapo juu, ni hivyo tu wanaume tunatofautiana aina ya wanawake tunaowapenda.
 
Uuwiiiii. Nimeshawahiwa Mtani. 😀😀😀😀

Ndio hivyo wapo ambao huwaambii kitu mbele ya hao wenye mizigo. 😀😀😀
 
Kweli halafu sasa hao wenye mizigo wanapata tabu sana wakitembea mtaani.
Nakumbuka kuna mmoja alipita mbele ya nyumba ninapokaa, nikashangaa anatembea huku anaangalia msambwanda wake, sasa nikajiuliza ina maana njia nzima alikuwa akijiangalia au alijiangalia baada ya kuniona mimi maana nilisimama nje kuna mtu nilikuwa nikimsubiri, aaahhh basi bwana tabu tupu.
Kwako Shadeeya
 
Hahahaaaaa. Itakuwa alijua unazimikia huo mzigo ndo maana.
 
Back
Top Bottom