Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 104 Jul 30, 2013 #1 Kwa miaka sasa wazazi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina kama; sikujua sikuzani, Matatizo, havinitishi Muungano, Majaliwa, Subira, Wema, Baraka. Taarifa zinasema neno la MAJANGA lipo karibu kuanza kutumika kama jina la mtu.
Kwa miaka sasa wazazi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina kama; sikujua sikuzani, Matatizo, havinitishi Muungano, Majaliwa, Subira, Wema, Baraka. Taarifa zinasema neno la MAJANGA lipo karibu kuanza kutumika kama jina la mtu.
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Jul 31, 2013 #2 Hehhe haya Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Jul 31, 2013 #3 Sasa hii ni news forecast au habari zijazo?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,068 Jul 31, 2013 #4 Hee kumbe wewe hujui majanga mbona ni jina la Siku nyingi tu, watu niwazee sasa..kwani hujawahi kusikia kwa mzee majangaaa???
Hee kumbe wewe hujui majanga mbona ni jina la Siku nyingi tu, watu niwazee sasa..kwani hujawahi kusikia kwa mzee majangaaa???
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,068 Jul 31, 2013 #5 Kuna Mzee majuto pia usisahau
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,360 Jul 31, 2013 #6 mshana jr said: Kuna Mzee majuto pia usisahau Click to expand... Hahahahaha! Naona mkuu umelikumbuka LI-KING! Ningefurahije tungekua nae jukwaani! Chezea Majuto weweeee! akicheka unacheka, akinuna unacheka, akiumia unacheka, akisema unacheka, jaman! Yule Mzee noumaaa babaake!
mshana jr said: Kuna Mzee majuto pia usisahau Click to expand... Hahahahaha! Naona mkuu umelikumbuka LI-KING! Ningefurahije tungekua nae jukwaani! Chezea Majuto weweeee! akicheka unacheka, akinuna unacheka, akiumia unacheka, akisema unacheka, jaman! Yule Mzee noumaaa babaake!