majanga!! youwave Android imebuma msaada wadau

majanga!! youwave Android imebuma msaada wadau

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Kama kichwa kinavyosema youwaveandroid ambayo nimekuwa nikiitumia katika pc yangu
kwa ajili ya kupata Whatsaap imebuma na sijajua tatizo ni nini hasa.
Nimejaribu kui unistall kisha kuinstall upya mambo yamebaki kuwa yale yale.
Aidha nimejaribu bluestack tatizo ni namna ya ku update graphics card sijui.
Msaada wadau tafadhalini huduma ya whatsaap nimeimisi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom