pozzyfaza
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,453
- 268
Jamani Ninashindwa kuelewa hii app. coz nilidownload ikawa inanigome kuinstall mpaka niupdate graphic card. nikaupdate nikafanikiwa kuiweka. Ila nikiifungua inaniletea yale mafile ya android lakini siwezi kuyafungua. kwachini inakua inaniambia LOADING CHANNELS. lakini inakua imeganda tu. sasa cjui tatizo ni nn. Pc yangu Ni Fujitsu lifebook. ram ni 1.50 GB